Wife kaninunia kisa hiki

Wife kaninunia kisa hiki

Na bado tukisema MAPENZI NI UGONJWA WA AKILI...

Kuna wana jeiefu watakuja juu...
 
Habari wakuu

Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa mwenyewe).

Sasa amerudi akaniona nimejinyoa, akaniuliza kulikoni niondoke ndio ujinyoe? Nikamjibu tu niliona yananiwasha. Hakuniamini, akaanza kulia eti anasema nilikua na mwanamke mwingine ndio maana nikayanyoa, nimemuelewesha ila haelewi.

So wakuu, hii kesi naisolve vipi?
Mkuu hebu fanya kunifinyia namba yake kistaili nikusaidue kuweka mambo vizuri chap..
 
Yanii mwanamke anakupangia mpaka kinyoa mavuzi? Mnajua kupenda aise Kwanza Mimi nilijifundisha kujitegemea tokea mdogo nafanya usafi wangu mwenyewe na sihitaji msaada wa mke

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, kabla ya ndoa nani alikuwa anakunyoa? Haya mabomu tunayoyatengeneza wenyewe ni vema tukajua namna ya kuyategua.
 
Habari wakuu

Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia. Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na nywele sehemu za siri nyingi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa mwenyewe).

Sasa amerudi akaniona nimejinyoa, akaniuliza kulikoni niondoke ndio ujinyoe? Nikamjibu tu niliona yananiwasha. Hakuniamini, akaanza kulia eti anasema nilikua na mwanamke mwingine ndio maana nikayanyoa, nimemuelewesha ila haelewi.

So wakuu, hii kesi naisolve vipi?
hii ipeleke kanisani
 
Simple , yarudishe hayo manywele sehemu yake.
Kwisha!!!
 
Back
Top Bottom