Wife kaninunia kisa hiki

Wife kaninunia kisa hiki

Na wewe nuna hakuna namna
Na akinuna alafu achelewe kurudi nyumbani akirudi asile mwanamke lazima akili zirudi sikuizi vijana wamekuwa wanawake kabisa ishu ndogo kama iyoo unashindwa solve
 
wife wako naye ananyonyolewaga
na nani? kwanini humkagui au mpaka Lena siku akijifungua
kifuatacho mnyoe atulie
 
Kuna siku usiku alikuwa amelala mchepuko alipiga simu, baadae ikafuatiwa meseji ya malavidavi.
Nikamuacha amelala.
Akashtuka nikampa simu yake umepigiwa simu na "babe wako" macho yakamtoka akanipokonya simu 🤣🤣🤣🤣 eti usiku kucha ananipapasa macho kama natoa machozi, kila dakika ananiamsha vipi mke wangu.
Nikiwa kimya ananipaasa macho 🤣🤣🤣🤣 nadhani alifikiri nitalia.
Malizia story.ikawaje?
 
Habari wakuu
Wiki iliyopita wife alipata dharura kidogo akaenda kwao kwa ajili ya issue za kifamilia.
Sasa huku nyuma aliniacha mimi nikiwa na mavuzi mengi balaa. Nikaona isiwe tabu alivyoondoka nikajifanyia usafi nikajinyoa mwenyewe (ikumbukwe wife huwa anapenda kuninyoa mwenyewe).

Sasa amerudi akaniona nimejinyoa,akaniuliza kulikoni niondoke ndio ujinyoe? Nikamjibu tu niliona yananiwasha. Hakuniamini, akaanza kulia eti anasema nilikua na mwanamke mwingine ndio maana nikayanyoa, nimemuelewesha ila haelewi.

So wakuu, hii kesi naisolve vipi?

Kumbe watoto wanaoana
 
Kuna njia nyingine mkuu yakutumia petrol na kibiriti,badala yakunyoa unayachoma
 
Ukijitetea Sana umeisha umeisha na Kama umefanya hivyo mzee jiandae na kisasi ...
 
Back
Top Bottom