Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Kumbe ulishakuwa sugu kama goti punda[emoji3][emoji3][emoji3]Kuna siku usiku alikuwa amelala mchepuko alipiga simu, baadae ikafuatiwa meseji ya malavidavi.
Nikamuacha amelala.
Akashtuka nikampa simu yake umepigiwa simu na "babe wako" macho yakamtoka akanipokonya simu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti usiku kucha ananipapasa macho kama natoa machozi, kila dakika ananiamsha vipi mke wangu.
Nikiwa kimya ananipaasa macho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nadhani alifikiri nitalia.
Sent using Jamii Forums mobile app