jang
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,415
- 1,186
Umeoa takataka yaani wewe wakati wenzako wanaoa ili wafanikiwa wewe uneoa ili ufe mapema .
Nani asiyejua majukumu ya mwanamke wa kiafrica???
Nani asiyejua majukumu ya mwanaume wa kiafrica??
Shida ni kwamba mwanamke anayefanya kazi hawezi kufanya majukumu yake yote hiyo ni ipo hivyo sasa mwanaume hapaswi kulalamika sababu mke Anatoa support kifedha kwenye majukumu ambayo ofcourse sio yake ni ya mwanaume...hiyo ni kubalance the fact that hawezi fanya majukumu yake ipasavyo akiwa na kazi
Mwanamke anayefanya kazi hawezi kuamka sa 10 usiku eti kudeki au kumpikia mume eti kufua nguo baada ya hapo ndo aende kazini.Hawezi kurudi na kupika chakula kwa mumewe on time sababu anarudi kazi amechoka...
Kwani hili nalo linataka elimu ya chuo kujua kwamba sababu kazi imeiba mda wake mwingi wa kuhudumia familia na kufanya majukumu basi kazi lazima iwe na manufaa kwenye familia walau mume useme ni kweli nguo zangu chafu ila walau mke wangu ananisapoti kununua maji ndani!!!!!!
Hivi 1.9M yote haina msaada kwenye familia!!!na kazini anafuata nini kwanini asishinde nyumbani tu umpe kila kitu..
Muongoze mke wako.Unajua mwanamke ana ujinga wa asili ila kiwango cha ujinga kimetofautiana.Ukiona mwanaamke kichwani anawaza fashion tu ujue hiyo takataka ni mchepuko material kama utaoa ni at ur own risk.
Ukiona mwanamke hana huruma na pesa ujue hiyo ni takataka na mchepuko material ukioa at ur own risk.
Ishu sio kuhudumia familia au kusaidia kuhudumia familia.Ishu ni ujinga wake unatia kinyaa,ishu ni hakuonei huruma kbs,ishu ni utakufa mapema kubwa ka yote umeuziwa mbuzi kwenye gunia yaani huyu na mali ulilipa kabisa kwmba unataka life partner km huyu???
Aiseeee Mungu atuonee huruma wanaume yaani hawa ndo viumbe tunapaswa kuwapenda!!!!tutawezaje sasa maana no way[emoji45][emoji45][emoji45]
Ukweli mtupu