Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Mkuu hilo pambo,endelea tu kulihudumia.......huo ni wajibu wako kama mwanaume,hela zake wala hazikuhusu labda aamue mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamatumizi mengi hao....kuna kuhonga , kujenga kwao nkKwani ye pesa yake anatumia kwanini au kwa kitu gani
Shukuru sasa acha kutukana...mi nawaona kibao hapa jobHahahah hao wanawake wapumbavu mnawatoaga wapi. Nashukuru nimepata mwanamke aliyekulia kijijini japo kwao hawana njaa kabisa ila amekulia mahala ambapo anajua life ni nini.
Ni mtu ambaye ukimpa mipango yupo tayari ku contribute chochote kitu. Hata kukopa ili mfanikishe yani mpenda maendeleo na wala hayo mambo ya mawigi na kununua nguo kila week hana tamaa nayo.
Jitu ambalo halikupi hata mia eti in the name of mume, hizo genyee unazipata wapi?[emoji57][emoji57]Tatizo la wanaume mkishaowa wanawake wanaojiweza kiuchumi huwa mnajisahau kabisa na kuhisi sasa mwanamke afai tena kuhudumiwa.
Hata kama kipato chako ni buku kumi kwa mwezi jukumu la kumtunza linabaki la kwako katika hiyo 10k ingebidi umpe buku asuke hata twende kilioni, sasa huyo mke akishakuwa anajilipia kusuka kuvaa na kila kitu utakuwa umeowa au umeolewa, wanaume wa siku izi jamani badilikeni wanawake sis tunadanganyaga na mambo mepesi sana mfano mtu kukujali tu hata kwa mafuta poda na nywele huwa tunasikia rahaa sana, tunasikia kumilikiwa na tunafeel ile feminist hali ya kuwa wa kike
Sasa kutana na limwanaume haleti kitu ndani kila akija mikino mitupu ajui hata kusuka bei gani hajui mafuta unayopaka sh ngap ajui nywele hata bei gani kazi yake kusema nywele zako zimefumuka
Na hapo anataka sex, ndo mana sa ingine unapata tu hasira, ujiudumie bado uliwe kila muda anaotaka tu... Woi hebu tupeni huduma ndogondogo hata mzuka upande siyo janu had dec hutoi mpaka uombwe mnaboa sana
utopolo mtupuTatizo la wanaume mkishaowa wanawake wanaojiweza kiuchumi huwa mnajisahau kabisa na kuhisi sasa mwanamke afai tena kuhudumiwa.
Hata kama kipato chako ni buku kumi kwa mwezi jukumu la kumtunza linabaki la kwako katika hiyo 10k ingebidi umpe buku asuke hata twende kilioni, sasa huyo mke akishakuwa anajilipia kusuka kuvaa na kila kitu utakuwa umeowa au umeolewa, wanaume wa siku izi jamani badilikeni wanawake sis tunadanganyaga na mambo mepesi sana mfano mtu kukujali tu hata kwa mafuta poda na nywele huwa tunasikia rahaa sana, tunasikia kumilikiwa na tunafeel ile feminist hali ya kuwa wa kike
Sasa kutana na limwanaume haleti kitu ndani kila akija mikino mitupu ajui hata kusuka bei gani hajui mafuta unayopaka sh ngap ajui nywele hata bei gani kazi yake kusema nywele zako zimefumuka
Na hapo anataka sex, ndo mana sa ingine unapata tu hasira, ujiudumie bado uliwe kila muda anaotaka tu... Woi hebu tupeni huduma ndogondogo hata mzuka upande siyo janu had dec hutoi mpaka uombwe mnaboa sana
ULIOA MKE MWENYE KIPATO KIKUBWA UKAHISI UMEPATA KUMBE UMEPATIKANA
Apewe kila kitu wakati ya kusuka tu kishaanza kulia lia.Na atakuwa zaidi akiacha kazi akakaa nyumbani ili apewe kila kitu
Mzigo wewe
Uyo alikuwa hatupendi, ukitakujua mwanamke anakupenda utamuona kwenye matumiz ya pesa kama anazo pesa lazma atakupa na na kama haja kupenda huwez kula hata sent moja yke wanawake wana roho ngumu
Kama Unapata maziwa yanini ufuge ng'ombeSioi aseee Kama ndo kunyonyana mpk tukauke...single boy
Habari wakuu.
Mke wangu ni muajiriwa kwenye moja ya entities hapa Tanzania, kipato chake kwa mwezi ni around 1.9m baada ya makato yote ya serikali.
Mimi kipato changu ni around 500k kwa mwezi na kiukweli kama mwanaume najitahidi sana pamoja na kipato changu kidogo kuhudumia familia yangu vizuri.
Sasa kilichonifanya kuandika huu uzi ni kisa kilichotokea juzi Jumamosi, wife ameninunia sababu ikiwa kwamba aliniomba pesa ya kusukia kama 20k hivi nikamwambia sina, nikamwambia yeye anakosaje hiyo elfu 20 wakati mahitaji yote ya nyumbani natoa mimi. Kanuna mpaka leo.
Nimeambatanisha ushahidi wa salary yake hapa, nishaurini, huyu mwanamke yuko sahihi kuniomba hela ya kusukia wakati kanizidi kipato karibia mara 4?View attachment 1691695
Hebu wambie hawa, **** huna basi ongea kauli nzuriSasa unataka akamuombe nani? Kwani ulipomuoa uliambiwa usimhudumie kama kipato chako ni kidogo kuliko chake? Acha kudekadeka na kulalama mitandaoni mhudumie mkeo EBOO!
Apewe kila kitu wakati ya kusuka tu kishaanza kulia lia.
Yawezekana mie ni mzigo ila sijafikia ufurushi wako na mtoa mada.
Hela ya kusuka tu inawatoa povu sembuse azae akae nyumbani!! Si atapauka hadi ajute.Kama wewe ni type hizo wewe umeumbwa kuzalishwa na kubaki nyumbani.
No point kuongeza matatizo kwenye maisha.Yaani kuoa laana kuongeza ukoo wenye laana yaani uzae watoto wabinafsi wenye roho mbaya kisa nini???
Ratio ya 1:6 wanaume kwa wanawake inamaana sana.Wanaume wajinga watadharau ila mda utawaumbua.
Ndio yuko sahihi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajibu wako
Ata kama mkeo angekua anapokea mil 500 kwa mwez ww unapokea lak 2. Haibatilish haki zako za kuhudumia family na yy pia