Wife kanuna baada ya kuona hizi picha zangu nikicheza kwenye harusi ya jamaa yangu

Wife kanuna baada ya kuona hizi picha zangu nikicheza kwenye harusi ya jamaa yangu

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya.

So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa kisambaa kanuna mpaka leo.
Nifanyaje wakuu?

Screenshot_20220507-205554_Instagram.jpg


Screenshot_20220507-205554_Instagram(1).jpg


Screenshot_20220507-205647_Instagram.jpg
 
Mwanamme unatakiwa kuwa na ushawishi kiasi uweze kuwa na mke wako hapo ukumbini na ukacheza na mwanamke mwingine bila tabu.

If it's just a dance.

Tatizo wewe unakwenda kwenye harusi bila mke wako, halafu unacheza na mwanamke mwingine.
 
Back
Top Bottom