kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Si ndizo makachero walizomtumia shosti wao.Mbona picha za Instagram unaleta km ushahidi
Sasa makachero wamemtumia mke wako instagram zinafanya nini? Aliyezipost instagram ni nani na kwa lengo gani?Si ndizo makachero walizomtumia shosti wao.
Chupa imeamka na chai 😂Futa hizo picha
Ushajulikana
Na chai inalalamo kwenye chupaChupa imeamka na chai [emoji23]
[emoji23][emoji23]Mbona unavaa suti ya mtumba mkuu?