tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je, wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?