Wife katoka out bila kunijulisha

Wife katoka out bila kunijulisha

Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je, wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Si kaenda kuliwa uroda ww baki huko huko irelandi ukirudi ulute makombo yako. Alafu punguza chai jua kali havinogi
 
Kuna mademu ambao wao kutiwa ni kama chakula yani, anatombwa kila weekend na watu tofauti 🤣🤣🤣 na wala hajali. Hao ndio ukioa umeisha.
Hao ndo wa kuwakimbia.
Yaani bodycounts ni muhimu sana kufahamu.
 
Ndio ndoa za sasa mkuu. Wanasema kusubiri ruhusa ya mume ni utumwa[emoji1787][emoji1787]
 
Nakuelewa sana maana ilishawahi kunitokea nikapenda maandishi. Ilinitesa sana
Unajia maandishi yana onesha mtu mzuri kiasi gani kuliko hata face to face.. mtu akisha elewa maandishi kakuelewa vibaya sana hapo
 
Back
Top Bottom