Wife katoka out bila kunijulisha

Wife katoka out bila kunijulisha

Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je, wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Kwa hiyo ulitaka akae ndaniituu kama utumbo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio dalili nzuri. Next time zikikaribia sikuu uje mwenyewe
 
Una hakika huyo ni mke? Au ni hawara wako tu single maza flani? 🤣 🤣 🤣
 
Wanawake sio waaminifu hata kidogo,huyo mkeo usikute Kuna njemba inamtembezeaga rungu kiulaini tu.Embu fanya jitihada umpsndishe pipa aje huko Ireland maana Hawa viumbe Ni miyeyusho Sana
Mwache anko Steven ale mzigo bana 😀 kwanza kina junior wanampenda sana.
 
Wee mpepe umeanza lini kuuvuta wakati wauni tushakukataza? Jana si tulikuwa wote pale kijenge juu kwa bi mshanaa tunakula mandazi !??

Leo tena upo ayalendi??!😳😳

"Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea"

Fantancy, fanya kazi bidii haya malengo utayafikia, na wala hautakuwa ma sababu ya kudanganya

Is Dublin Ireland pound or euro?

The currency of Ireland is the Euro. Check before you travel that your bank cash card can be used in ATM machines in Ireland.

Hapo alipo ameshindia ugali na dagaa na yuko Keko Magurumbasi, paundi 1000 atazitoa wapi sembuse kwenda Ireland!

Inasikitisha jinsi watu wanatoa ushauri wakati hii inafahamika wazi ni chai

Nilivyoona tu £ 1000 nimeacha kusoma. Acha utoto inaonekana hata maana ya mke

Pounds Ireland?

Amandla...
Sasa nyie mnataka kuharibu interview!!!
 
Level kubwa ya masculinity ni kuoa yule anayekurespect.
Siku zote masculine men wanaojielewq hawawezi kuoa ex maanq walikushusha heshima na kulala na wanaume wengjne.
Tafuta anayekuheshimu, hakikisha ukikutana na mwanamke, tengeneza Questions ambazo zitakusaidia kujua tabia zake, mfano unaweza muuliza kiutani, unakunywa bia ngapi, akikujibu Moja jua ni mlevi.
Pia penda sana kujua bodycounts, usioe demu mwenye bodycounts zaidi ya wawili.
Mke wako hapaswi kutembea na wanaume zaidi ya wawili maana huwa wanabeba traits zao kutokana na sperms kuweza kupenetrate na kusafirisha genes mpaka kwenye ubongo wa mwanamke.
Bro umechagua njia nzuri
Stay masculine
Kuna mademu ambao wao kutiwa ni kama chakula yani, anatombwa kila weekend na watu tofauti 🤣🤣🤣 na wala hajali. Hao ndio ukioa umeisha.
 
Kumchunga ukiwa mbali ni ngumu, kikubwa ukirudi hakikisha unampima vipimo vyote kabla hujaanza tena kumla. By vipimo vyote namaanisha ngoma, mimba, homa ya ini, marinda etc
Dah mkuu umetisha[emoji1787]
 
Wanawake sio waaminifu hata kidogo,huyo mkeo usikute Kuna njemba inamtembezeaga rungu kiulaini tu.Embu fanya jitihada umpsndishe pipa aje huko Ireland maana Hawa viumbe Ni miyeyusho Sana
Si ndio atamkimbia kwenda kwa wageni
 
Back
Top Bottom