Wife katoka out bila kunijulisha

Wife katoka out bila kunijulisha

Hahahaa... mkuu umenifurahisha sana..😀

Huyu jamaa haelewi kua wachepukaji wengi makini hua hawachepuki zile siku ambazo wewe utadhani wanachepuka. Mfano siku za sikukuu, weekend nk ni siku mbaya kuchepuka kwanza hukawii kukutana na watu wa ajabu ajabu, kupigiwa sim za kushtukiza n.k. Watu wanachepuka siku na muda ambao huwezi kamwe kudhani kwamba saa izo ndio mtu anachepuka 😀😀
Halafu umetoka na watoto utachepuka saa ngapi taabu yote ya nini
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?

Kumchunga Mwanamke ni kujitafutia magonjwa yasiyoambukiza, acha hizo kbs!
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
wewe sema ulitakata tu kutueleza kuwa uko nje ya nchi
 
Halafu umetoka na watoto utachepuka saa ngapi taabu yote ya nini
Eti..! Jamaa linajipa presha bure tu. Mke kama ni kuliwa kweli lazima ataliwa, maana huez kusema eti atavumilia siku zote mpaka jamaa lirudi, lakini ataliwa mda na wakati ambao anajua kabisa lijamaa halitajua wala halitahisi kitu.
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Hayo ndo manyoya ambayo wahenga wanasema unapoyaona hayo ujue keshaliwa.

Na huwezi to undone.

Hongera kwa wivu
 
Mjomba fimbo ya mbali haiui nyoka na mwanamke hachungwi.
Shukuru hata watoto wameenda beach.
Kama kunasela anakusaidia, shukuru tu bado wife anajali watoto.
Kama hutaki hizi stress mlete airelandi pia.
Unadhan kuna manzi hataki kwenda uzunguni pia?
Akimleta Ireland wataachania huko huko.
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Pound 1000 mbona ndogo Sana mkuu kibongo bongo
 
punguza wivu na kutengeneza picha nyingi kichwani, kama ana nia ya kukucheat
1. asingeenda na watoto.
2. asingepikea simu ulipompigia
3.asingekua kwenye kelele, pangekua pametuliaa tuliii

sasa mzee unataka kila kitu uambiwe na haupo Tz, kama unataka kumrekebisha mwambie tuu kiutani 'bb, yaan unatoka hata huniambii' ila ukimuuliza serious ataona humuamini, we piga kazi huko, haya mambo ya mapenz yatakuumiza bure.. sasa ww unalia hujapewa taarifa ya outing, kuna mwenzako toka jana amelala mwenyewe na hajui mke yupo wapi, akirudi ataambiwa punguza wivu na kunifuatilia... ndoa zimekua na changamoto sana
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Nilivyoona tu £ 1000 nimeacha kusoma. Acha utoto inaonekana hata maana ya mke
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je, wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Pounds Ireland?

Amandla...
 
Back
Top Bottom