Wife katoka out bila kunijulisha

Wife katoka out bila kunijulisha

Sikia, huwezi fahamu dalili za uchepukaji ukiwa mbali naye Bali ukiwa karibu, utakuwa unafanya speculation tu.
Ila jaribu kumnyima attention na wewe kwa muda wa siku nzima kesho, ukiona hakupigii hio ni redflag kuwa ana jemba linampumulia.
Jaribu kuwa mkatili kidogo Kwa siku ya kesho.

We jamaa una mentality kama yangu asilimia zote,napenda sana kuishi na ho viumbe ki masculine kwa asilimia [emoji817],sijawahi kujutia kumpoteza yeyote na mara zote wao huwa wanarudi kwa misamaha mingi,sometimes kwa hii mentality yangu sijui kama nitaoa aisee
 
Level kubwa ya masculinity ni kuoa yule anayekurespect.
Siku zote masculine men wanaojielewq hawawezi kuoa ex maanq walikushusha heshima na kulala na wanaume wengjne.
Tafuta anayekuheshimu, hakikisha ukikutana na mwanamke, tengeneza Questions ambazo zitakusaidia kujua tabia zake, mfano unaweza muuliza kiutani, unakunywa bia ngapi, akikujibu Moja jua ni mlevi.
Pia penda sana kujua bodycounts, usioe demu mwenye bodycounts zaidi ya wawili.
Mke wako hapaswi kutembea na wanaume zaidi ya wawili maana huwa wanabeba traits zao kutokana na sperms kuweza kupenetrate na kusafirisha genes mpaka kwenye ubongo wa mwanamke.
Bro umechagua njia nzuri
Stay masculine
 
Kama kumegwa sio lazima iwe leo.
Hahahaa... mkuu umenifurahisha sana..😀

Huyu jamaa haelewi kua wachepukaji wengi makini hua hawachepuki zile siku ambazo wewe utadhani wanachepuka. Mfano siku za sikukuu, weekend nk ni siku mbaya kuchepuka kwanza hukawii kukutana na watu wa ajabu ajabu, kupigiwa sim za kushtukiza n.k. Watu wanachepuka siku na muda ambao huwezi kamwe kudhani kwamba saa izo ndio mtu anachepuka 😀😀
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Kama bado yuko ndani ya Saa ( Masaa 24 ) na uko nae hapo Jirani mwambie achuchumae akiwa na Suti ya Mola ( Uchi ) kisha subiria kwa dakika 15 tu uone kama Mbunye yake itatiririsha Manii ( Shahawa ) au hapana.

Njia hii ikishindikana rejea ( rudi ) tena Kwangu GENTAMYCINE ili nikupe nyingine ya Pili ambayo nayo ni ya Uhakika vile vile.

Ila kwa Maelezo yako 85% Umechapiwa
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?

"Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea"

Fantancy, fanya kazi bidii haya malengo utayafikia, na wala hautakuwa ma sababu ya kudanganya
 
Is Dublin Ireland pound or euro?

The currency of Ireland is the Euro. Check before you travel that your bank cash card can be used in ATM machines in Ireland.
 
Kuna njemba imeshatafuna mbususu ya mkeo na wanao wanamuita jamaa uncle....... Njemba imefaidi mbususu na pauni zako,,, we huko piga puchu tu
Kweli Wanaume tumeumbiwa mateso,mtafuta paund mwingine,na mtumiaji wa hizo paund ni mwingine!!
 
Back
Top Bottom