Wife Material akuje!

5.Awe tayari kugongana muda wowote bila usumbufu. Hii sifa ni wakati sasa iongezewe kwenye waraka wa kutafta wake wa kuoa.
 
Mzee uneamua kuachana na ukapela safi sana!! Mzee mrema katupa somo.
 
Unatafuta mke au mchepuko?
 
Watakuja kusema kuwa kuna mtu atapigwa na kitu kizito kichwani
 
Kama uko serious kweli Mungu akusaidie!!
But huwa najiuliza! Ni sababu ipi inayomfanya mtu kuwaamini watu wa mitandaoni kuliko wale ambao Anaonana nao ana KWA Ana??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jamani...sifa zote ninazo..hapo kwenye umaterialπŸ€”..bana tutafundishana..
Nipo hapa πŸ€—
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jamani...sifa zote ninazo..hapo kwenye umaterialπŸ€”..bana tutafundishana..
Nipo hapa πŸ€—
Hebu kuja pm kwanza tuangalie muafaka wa kuuaga ukaperaπŸ˜…
 
Sifa zote ninazo. Hilo la kwanza.
La pili mnifundishe nikizama pm mimi nimwambie nini mleta bango?

Bahati mbaya sijawahi mfata mtu pm.

Nipeni shule huu ni mwaka wa ndoa wakuu.
 
But Nina kaswali are you kahandsome japo kidogo hii kwa afya ya watoto wetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€¦
Nyoooolo!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi kweli wewe ndoa unaitaka? Embu kwanza dili na mmevbana hayo mengine baadae.

Mwenyewe huu uzi nimeupenda sema naanzaje kumfata piem mtu hajaweka hata no. Embu kama humtaki nifundishe nikienda piem nithemeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…