Wife Material akuje!

🤣🤣🤣🙌🙌uko sahihi dear
 
Enheee mule mule umepatia..

Ongezea na kuahidi kumpenda kwa shida na Raha..


Muulize je! Atakua tayari kukulipia kamkopo ka bank kalikosalia?

😂😂 Hayo tu
 
Let me zamaring piem ya jamaa foo yuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je km mello ni mela wako, wee unawaza ban tyuuh khaaah
😂😂😂😂😂Atiiiiii...
Ngoja nianze kua mpole Kama kipindi kile
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atiiiiii...
Ngoja nianze kua mpole Kama kipindi kile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mie hapa.
Tena ukae kwa kutulia, usishangae siku status angu inasoma Moderator.
 
Miaka 40?
Ila mkuu wanaume wana nafasi kubwa sana yakuoa nje ya mitandao ya kijamii.
Then naona wimbi la wadada wasioolewa limeongoezeka kwa kasi sana.
 
Miaka 40?
Ila mkuu wanaume wana nafasi kubwa sana yakuoa nje ya mitandao ya kijamii.
Then naona wimbi la wadada wasioolewa limeongoezeka kwa kasi sana.
Wapo watu wanadate na kuoana kupitia mitandao !
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si unajaribu kwa huyu, uoga wako ndo umaskini wako lol
Huyu ashajitangaza hapa pm imejaa ntaweza huo mchujo? No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…