Wife Material akuje!

Wife Material akuje!

Mleta uzi ukute ni ni mwanaume haswa lakini tutamchukulia poa kwakuwa ni humu jf sehem ya kupunguzia stress. Huyu ilitakiwa nikutane nae mitaani nijaribu bahati yangu. Ila kwa humu jf wacha tusindikize uzi hakuna kitu naogopa kama kukutana na mtu wa mitandaoni kha
🤣🤣🤣🙌🙌uko sahihi dear
 
Nisemeje sasa?

Nilikuwa nawaza nikizama piem thijui nitheme hivi?
Mimi naitwa luckyline natokea chattle HQ.Nimekuja piem kufatia bango lako. Nina vigezo vyote na zaidi.

Je utanipenda na kunijali kwa kila kitu unipe na hela hata kama sijakupenda? Na mimi nitakupenda na ndugu zako wote.

Thenki yu.

Hii imekaaje niikopie piem? Kuna cha kuongeza au kupunguza?
Enheee mule mule umepatia..

Ongezea na kuahidi kumpenda kwa shida na Raha..

Muulize je! Atakua tayari kukulipia kamkopo ka bank kalikosalia?

😂😂 Hayo tu
 
Mleta uzi ukute ni ni mwanaume haswa lakini tutamchukulia poa kwakuwa ni humu jf sehem ya kupunguzia stress. Huyu ilitakiwa nikutane nae mitaani nijaribu bahati yangu. Ila kwa humu jf wacha tusindikize uzi hakuna kitu naogopa kama kukutana na mtu wa mitandaoni kha
Let me zamaring piem ya jamaa foo yuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan umekua km ndimu uwiiiii, ngoja niongee na mello tuone tunafanyaje.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Eeh Mungu nisaidie mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je km mello ni mela wako, wee unawaza ban tyuuh khaaah
😂😂😂😂😂Atiiiiii...
Ngoja nianze kua mpole Kama kipindi kile
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atiiiiii...
Ngoja nianze kua mpole Kama kipindi kile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mie hapa.
Tena ukae kwa kutulia, usishangae siku status angu inasoma Moderator.
 
Miaka 40?
Ila mkuu wanaume wana nafasi kubwa sana yakuoa nje ya mitandao ya kijamii.
Then naona wimbi la wadada wasioolewa limeongoezeka kwa kasi sana.
 
🤣🤣🤣🙌🙌uko sahihi dear
Hakuna mtu anaeishi mtandaoni, hii ni platform tu ya kukutania watu wote wanaishi mitaani mahusiano yanaweza kuanzia popote iwe kanisani, msikitini, vyombo vya usafiri, kazini, nk
 
Miaka 40?
Ila mkuu wanaume wana nafasi kubwa sana yakuoa nje ya mitandao ya kijamii.
Then naona wimbi la wadada wasioolewa limeongoezeka kwa kasi sana.
Wapo watu wanadate na kuoana kupitia mitandao !
 
Back
Top Bottom