Mivyumba
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 275
- 533
🤣🤣🤣🙌🙌uko sahihi dearMleta uzi ukute ni ni mwanaume haswa lakini tutamchukulia poa kwakuwa ni humu jf sehem ya kupunguzia stress. Huyu ilitakiwa nikutane nae mitaani nijaribu bahati yangu. Ila kwa humu jf wacha tusindikize uzi hakuna kitu naogopa kama kukutana na mtu wa mitandaoni kha