huyo hana usumbufu, usichana umeisha, haringiringi, akiringa thelathini inagonga kashakuwa mama mtu mzima. Huyu atakuwa amekomaa na maisha anayajua, atatulia kwenye ndoaHivi mbona mtaani madem kibao na wakali, binafsi nashangaa sana mtu anayetafuta mpenzi mtandaoni hususani kwa sisi waafrica.
Kwanza mwanamke miaka 27 kuendelea mbona kama unanunua gazeti jioni.
Hivi mitaa ipi hiyo mnayoiongelea?Hivi mbona mtaani madem kibao na wakali, binafsi nashangaa sana mtu anayetafuta mpenzi mtandaoni hususani kwa sisi waafrica.
Kwanza mwanamke miaka 27 kuendelea mbona kama unanunua gazeti jioni.
Shoga Hilo tena lenye ukimwi hatari hakuna Mwaume hapo usipoteze Mb zakoMkuu ukitaka kuoa jitahidi uwe na kagari alafu jitahidi uwe umeshanunua kiwanja na umeweka hata msingi au umepandisha hata tofali 4
Utakuja kunishukuru.
Ila sasa mkuu mpka 34 hujaoa huna nyumba huna gari hata mali pia huna dah unakwama wapi asee hawa dada zetu ni viumbe wa kutunzwa sasa nyumba ya kupanga si ataingia majaribuni au afuate mkumbo kwa majirani.....
Hauamini kwamba wewe ni material adhimu?Wife material humu?
usitutie dhambini bali utuokoe na yule mwovu e baba!
Hee kumbe ni mwanamke!Duh
Cc Maghayo
Ila wana jf mna raha sana๐๐๐ sasa utapimaje? Au ukizidi hakuna shida?7. Uwe na uzoefu wa mahusiano yasio pungua 2 yrs
Mimi material yangu ni satin mkuu ๐Hauamini kwamba wewe ni material adhimu?
Fumba macho na ushike simu vema nikuombee dua njema.Mimi material yangu ni satin mkuu ๐
Sitaki kabisa me tuhela twangu twa vicoba ninunue tofali halafu aje aseme sikuwahi kukupenda onhoo mbona atatrend kwa Milard ayoHa haaa,mambo ya kuanzia chini pamoja Kwa kweli ni jau sana,akishajipata jiandae na kale kamsemo ka lets shake hands ๐
Lets pray. ๐Fumba macho na ushike simu vema nikuombee dua njema.
Hapana, amsaidie mtoa uzi kupata anachotakaHee kumbe ni mwanamke!
Trespasses zichungwe sana.Lets pray. ๐
Our father who art in heaven.
Sijui nitie neno hapa.... au basiKwani yeye hataki bikra?mbona uzoefu wa miaka 2tena๐๐คฆ๐??
Duh..7. Uwe na uzoefu wa mahusiano yasio pungua 2 yrs
nakaziaMkuu ukitaka kuoa jitahidi uwe na kagari alafu jitahidi uwe umeshanunua kiwanja na umeweka hata msingi au umepandisha hata tofali 4
Utakuja kunishukuru.
Ila sasa mkuu mpka 34 hujaoa huna nyumba huna gari hata mali pia huna dah unakwama wapi asee hawa dada zetu ni viumbe wa kutunzwa sasa nyumba ya kupanga si ataingia majaribuni au afuate mkumbo kwa majirani......