Wife material anahitajika

Wife material anahitajika

Hivi mbona mtaani madem kibao na wakali, binafsi nashangaa sana mtu anayetafuta mpenzi mtandaoni hususani kwa sisi waafrica.
Kwanza mwanamke miaka 27 kuendelea mbona kama unanunua gazeti jioni.
huyo hana usumbufu, usichana umeisha, haringiringi, akiringa thelathini inagonga kashakuwa mama mtu mzima. Huyu atakuwa amekomaa na maisha anayajua, atatulia kwenye ndoa
 
Hivi mbona mtaani madem kibao na wakali, binafsi nashangaa sana mtu anayetafuta mpenzi mtandaoni hususani kwa sisi waafrica.
Kwanza mwanamke miaka 27 kuendelea mbona kama unanunua gazeti jioni.
Hivi mitaa ipi hiyo mnayoiongelea?
 
Mkuu ukitaka kuoa jitahidi uwe na kagari alafu jitahidi uwe umeshanunua kiwanja na umeweka hata msingi au umepandisha hata tofali 4
Utakuja kunishukuru.

Ila sasa mkuu mpka 34 hujaoa huna nyumba huna gari hata mali pia huna dah unakwama wapi asee hawa dada zetu ni viumbe wa kutunzwa sasa nyumba ya kupanga si ataingia majaribuni au afuate mkumbo kwa majirani.....
Shoga Hilo tena lenye ukimwi hatari hakuna Mwaume hapo usipoteze Mb zako
 
Tatizo mimi sitaki kuanza chini ningezama pm chaap
Amehlo changamka mwaka huu tushone sare onhoo
Ha haaa,mambo ya kuanzia chini pamoja Kwa kweli ni jau sana,akishajipata jiandae na kale kamsemo ka lets shake hands 🙆
 
Ha haaa,mambo ya kuanzia chini pamoja Kwa kweli ni jau sana,akishajipata jiandae na kale kamsemo ka lets shake hands 🙆
Sitaki kabisa me tuhela twangu twa vicoba ninunue tofali halafu aje aseme sikuwahi kukupenda onhoo mbona atatrend kwa Milard ayo
 
7. Uwe na uzoefu wa mahusiano yasio pungua 2 yrs

Nananakesha Club..... We utaniua🤣
 
Mkuu ukitaka kuoa jitahidi uwe na kagari alafu jitahidi uwe umeshanunua kiwanja na umeweka hata msingi au umepandisha hata tofali 4
Utakuja kunishukuru.

Ila sasa mkuu mpka 34 hujaoa huna nyumba huna gari hata mali pia huna dah unakwama wapi asee hawa dada zetu ni viumbe wa kutunzwa sasa nyumba ya kupanga si ataingia majaribuni au afuate mkumbo kwa majirani......
nakazia
 
Back
Top Bottom