LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
huyo hana usumbufu, usichana umeisha, haringiringi, akiringa thelathini inagonga kashakuwa mama mtu mzima. Huyu atakuwa amekomaa na maisha anayajua, atatulia kwenye ndoaHivi mbona mtaani madem kibao na wakali, binafsi nashangaa sana mtu anayetafuta mpenzi mtandaoni hususani kwa sisi waafrica.
Kwanza mwanamke miaka 27 kuendelea mbona kama unanunua gazeti jioni.