Single mother naona umefurahi kweli kweli!!......changamkia fursa basi my dear!![emoji4][emoji4][emoji4]
Unaonekana unakawivu flan iviii,...
Unaumli gani
IRON LADY!!!!
Anatakiwa mwanamke alieye serious na yuko tayari kuishi na mume as soon as possible.
Sifa: Mwanamke, mrembo, anaejiheshimu, mcha Mungu. Awe tayari kupima HIV.
PM namba yako twende sawa.
An ant on the move does more than a dozing ox.
Msalimie shemeji![emoji53][emoji53][emoji53]hehehehhe utasubiria sana aic! nipo na ndoa yangu hapa nafurahsha tu kambi.... niolew twice nataka vumbua nn kwa mfano! na sijawah kuwa single parent mkuu!... again pole weee
Teh teh..dida anaachika, wewe kwa mbiti huachiki na mume mpya kama kawa. Jisevie waume wawili banaa mbona wao wanaoa ht wanne si tumetulia tu..hahaha haihu shoga nitakuwa km dida mchops lol! mnifunde upyaaaa
Wivu tena!! Wanaume wamejaa tele tena maharage ya mbeya hata hawakatai!Unaonekana unakawivu flan iviii,...
Teh teh..dida anaachika, wewe kwa mbiti huachiki na mume mpya kama kawa. Jisevie waume wawili banaa mbona wao wanaoa ht wanne si tumetulia tu..
Wivu tena!! Wanaume wamejaa tele tena maharage ya mbeya hata hawakatai!
Haaaaa sikuona pm boss tuambie umli usijekuwa bado mvulanaWew nilikupm ukunijib
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hehehehheh woyooooooooooooooooooooooooooooooo Neybright ,demi tafadharini naomba kuwaaga rasmi jamen!
mkuje kweny kitchen party yangu(hahahahaha),hv ukiolewa ,ukaolewa tena sendoff na kitchen party huwa
inahusu??hahahhaa nawaza namuimbiaje mzee MBITIYAZI! QWI QWI HATIMAE MACHOZI YANGU YANAENDA KUFUTIKAAAAAAAAAA...safari ya pm nw......teh...
Haaaaa sikuona pm boss tuambie umli usijekuwa bado mvulana
IRON LADY!!!!
Embu mkumbushe maana anaharaka mwanamke huyuViatu umekumbuka kuvaa?
Utafundwa mpaka uwe kungwi msikilizaji na sio mtendaji [emoji28]hahaha haihu shoga nitakuwa km dida mchops lol! mnifunde upyaaaa
Sawa inaezakuwa unajitambua safari njema
IRON LADY!!!!
Duh kaamua kulipiza kisasi, sasa si bora angejiondokea tu kwa huyo mume aliyezaa na hg? Akajinafasi vzr kwa mume mpya, taabu yote ya nini?hahaha kuna chuo fulan moro kuna mdada kaolewa na waume wawil .. mume wa ndoa hajui kitu maskin ya Mungu... huyu bibie kawaleta had ndg zake na coaster! walifungia bomani! na bado haijabumbuluka bado huwa nikimuona nacheka sana ! nilimuulizaga akasema [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mnaniona mie chiz ila mume wangu amenidharau sana kuzaa na beki 3,, na yy kaamua kuolewa waume wawili! ukimuona hafananii !hahahahah hatar sana aic!