kumbe ana mke tayari?Kwani yule mke wako uliyemchapa kibao kisa profesa lipumba akakimbilia kwao ulimpa talaka???? Au unatafta mke wapili mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe ana mke tayari?Kwani yule mke wako uliyemchapa kibao kisa profesa lipumba akakimbilia kwao ulimpa talaka???? Au unatafta mke wapili mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
basi nimefikaKua na watoto wawili ni minimum standard. So asie na mtoto anafaa zaid
An ant on the move does more than a dozing ox.
Nyani mwekundu unaniovertake
Ana mke huyu mznguaji tukumbe ana mke tayari?
Anatakiwa mwanamke alieye serious na yuko tayari kuishi na mume as soon as possible.
Sifa: Mwanamke, mrembo, anaejiheshimu, mcha Mungu. Awe tayari kupima HIV.
PM namba yako twende sawa.
An ant on the move does more than a dozing ox.
Eeh hii sasa kazUrembo uko aina nyingi, unataka mrembo wa aina gani?
Una umri gani na unajishughulisha na nini maishani, unaishi wapi.
Uko tayari kuwa na mwenye watoto 2, mjukuu mmoja, baby daddy 2, grandma 3, grandpa 3. Hawa grannies wako karibu sana na wajukuu zao, achia mbali msururu wa aunties, uncles na cousins... ?
Eeh hii sasa kaz
Watafanya niwe mnyonge sana. Bora bas wangekua wananguWe si unataka aliye serious myaanzishe as soon as possible? Mbona tena unaanza kuruka!