Wife material anatakiwa. Asizidi watoto wawili

Anatakiwa mwanamke alieye serious na yuko tayari kuishi na mume as soon as possible.

Sifa: Mwanamke, mrembo, anaejiheshimu, mcha Mungu. Awe tayari kupima HIV.

PM namba yako twende sawa.

An ant on the move does more than a dozing ox.

Urembo uko aina nyingi, unataka mrembo wa aina gani?

Una umri gani na unajishughulisha na nini maishani, unaishi wapi.

Uko tayari kuwa na mwenye watoto 2, mjukuu mmoja, baby daddy 2, grandma 3, grandpa 3. Hawa grannies wako karibu sana na wajukuu zao, achia mbali msururu wa aunties, uncles na cousins... ?
 
Bado sijaona mtu

Eeh hii sasa kaz
 
Back
Top Bottom