Kwa tafsiri ya wanaume wengi, "wife material" ni mwanamke ambaye:
1. Mume akichepuka asiseme chochote.
2. Mume akichelewa kurudi anaseme hewala.
3. Mume akiondoka bila kuaga anasema poa tu, Ila yeye kuondoka bila taarifa ni kosa.
4. Kazi ya kupika, kufua, na kusafisha nyumba ni jukumu lake na siyo mume.
5. Hana uhuru wa kufanya jambo lake au kuondoka na kwenda mahali kwa ratiba yake na matakwa yake.
6. Anarudi nyumbani saa 12 jioni kama kuku wa kienyeji.
7. Hana uhuru wa kupinga mawazo ya mume.
8. Kuongeza mume wa pili ni dhambi, lakini yeye kuongezewa mke wa pili ni sawa (atasomewa vifungi vya Quran kama vyote hapa ili kuhalalisha ujinga huu)
N.k, n.k.
Kiufupi wanaume humsifia mwanamke zezeta kuwa ndiye wife material. Lakini yule ambaye anataka kuishi kwa uhuru na kufuatia matakwa ya mwili na akili yake, huitwa kicheche