To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
SawaNi yule anaetekeleza maagano ya ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNi yule anaetekeleza maagano ya ndoa
Huenda ni ndiyo mkuu,au uliandika ili ajisikie vibaya? Maana hapo ni pamoja na mama yako pia😉😊Kwahiyo mama yako ni mjinga na zoba ndo maana alipendwa na baba yako?
And thats nature, wooow!wanaume wa kiafrika hawajiamini mwanamke akiwa msomi hawamtaki
,akiwa na hela hawamtaki
akiwa na exposure ya vitu vya maana hawamtaki
yani wanataka mwanamke awe mjingamjinga
Mnajua kufuata hilo tu...amri kumi za Mungu aah!Hata na hivyo mwanamke umeumbwa kuwa weak (zoba) kwa mwanaume tangu misingi ya uumbaji (soma biblia)
Hakuna swali la kipumbavu mke kuuliza kama hiliMume akichelewa kurudi anaseme hewala.
Sasa mkuu izo sifa ulizozitaja zikiwa kinyume chake kuna mke tena hapo?Kwa tafsiri ya wanaume wengi, "wife material" ni mwanamke ambaye:-
1. Mume akichepuka asiseme chochote.
2. Mume akichelewa kurudi anaseme hewala.
3. Mume akiondoka bila kuaga anasema poa tu, Ila yeye kuondoka bila taarifa ni kosa.
4. Kazi ya kupika, kufua, na kusafisha nyumba ni jukumu lake na siyo mume.
5. Hana uhuru wa kufanya jambo lake au kuondoka na kwenda mahali kwa ratiba yake na matakwa yake.
6. Anarudi nyumbani saa 12 jioni kama kuku wa kienyeji.
7. Hana uhuru wa kupinga mawazo ya mume.
8. Kuongeza mume wa pili ni dhambi, lkn yeye kuongezewa mke wa pili ni sawa (atasomewa vifungi vya Quran kama vyote hapa ili kuhalalisha ujinga huu)
N.k, n.k.
Kiufupi wanaume humsifia mwanamke zezeta kuwa ndiye wife material. Lkn yule ambaye anataka kuishi kwa uhuru na kufuatia matakwa ya mwili na akili yake, huitwa kicheche
Tafsiri ya wife material ni MishangaziKwa tafsiri ya wanaume wengi, "wife material" ni mwanamke ambaye:-
1. Mume akichepuka asiseme chochote.
2. Mume akichelewa kurudi anaseme hewala.
3. Mume akiondoka bila kuaga anasema poa tu, Ila yeye kuondoka bila taarifa ni kosa.
4. Kazi ya kupika, kufua, na kusafisha nyumba ni jukumu lake na siyo mume.
5. Hana uhuru wa kufanya jambo lake au kuondoka na kwenda mahali kwa ratiba yake na matakwa yake.
6. Anarudi nyumbani saa 12 jioni kama kuku wa kienyeji.
7. Hana uhuru wa kupinga mawazo ya mume.
8. Kuongeza mume wa pili ni dhambi, lkn yeye kuongezewa mke wa pili ni sawa (atasomewa vifungi vya Quran kama vyote hapa ili kuhalalisha ujinga huu)
N.k, n.k.
Kiufupi wanaume humsifia mwanamke zezeta kuwa ndiye wife material. Lkn yule ambaye anataka kuishi kwa uhuru na kufuatia matakwa ya mwili na akili yake, huitwa kicheche
Wewe zoba mahari ulipewa kwa ajili ya nini?Kwanini isiwe kinyume chake?
🤣🤣🤣
Mm nimemuuliza swali kutokana na comment yake aliyo iweka juu ya wanaume wa kiafrika.Huenda ni ndiyo mkuu,au uliandika ili ajisikie vibaya? Maana hapo ni pamoja na mama yako pia😉😊
Upo sahihi.Kwa tafsiri ya wanaume wengi, "wife material" ni mwanamke ambaye:
1. Mume akichepuka asiseme chochote.
2. Mume akichelewa kurudi anaseme hewala.
3. Mume akiondoka bila kuaga anasema poa tu, Ila yeye kuondoka bila taarifa ni kosa.
4. Kazi ya kupika, kufua, na kusafisha nyumba ni jukumu lake na siyo mume.
5. Hana uhuru wa kufanya jambo lake au kuondoka na kwenda mahali kwa ratiba yake na matakwa yake.
6. Anarudi nyumbani saa 12 jioni kama kuku wa kienyeji.
7. Hana uhuru wa kupinga mawazo ya mume.
8. Kuongeza mume wa pili ni dhambi, lakini yeye kuongezewa mke wa pili ni sawa (atasomewa vifungi vya Quran kama vyote hapa ili kuhalalisha ujinga huu)
N.k, n.k.
Kiufupi wanaume humsifia mwanamke zezeta kuwa ndiye wife material. Lakini yule ambaye anataka kuishi kwa uhuru na kufuatia matakwa ya mwili na akili yake, huitwa kicheche
Yuko sasa wanaume kwel tunataka awe mjinga mjinga aone kila afanyalo mwanaume ni bora sanaSijamtukana nimemuuliza swari kutokana na koment yake.
Kwenye moment yake amedai kuwa wanaume wa kiafrika hatujiamini hivyo tunapenda wanawake wajinga na mazoba.