Kwa tafsiri ya wanaume wengi, "wife material" ni mwanamke ambaye:
1. Mume akichepuka asiseme chochote.
2. Mume akichelewa kurudi anaseme hewala.
3. Mume akiondoka bila kuaga anasema poa tu, Ila yeye kuondoka bila taarifa ni kosa.
4. Kazi ya kupika, kufua, na kusafisha nyumba ni jukumu lake na siyo mume.
5. Hana uhuru wa kufanya jambo lake au kuondoka na kwenda mahali kwa ratiba yake na matakwa yake.
6. Anarudi nyumbani saa 12 jioni kama kuku wa kienyeji.
7. Hana uhuru wa kupinga mawazo ya mume.
8. Kuongeza mume wa pili ni dhambi, lakini yeye kuongezewa mke wa pili ni sawa (atasomewa vifungi vya Quran kama vyote hapa ili kuhalalisha ujinga huu)
N.k, n.k.
Kiufupi wanaume humsifia mwanamke zezeta kuwa ndiye wife material. Lakini yule ambaye anataka kuishi kwa uhuru na kufuatia matakwa ya mwili na akili yake, huitwa kicheche
Tukiachana na huu ushuzi uliotuandikia hapa ambao hauna uhalisia hata chembe..
Je, umewahi kuwauliza hao shoga zako mafeminists tafsiri yao ya
Husband material?
Kama hujui basi acha nikujuze sifa kuu za husband material kwa mujibu wa hao feminists ambao naamini ndio wamekupa hili bandiko utuletee humu.
1.kwanza ni lazima ukubali pesa zako ni za kwenu wote ila za kwake ni zake peke yake, usipokubaliana na hili wewe ni mvulana.
2.Lazima ukubali kuwa kutimiza majukumu yako ya kiume hasa kuprovide ni lazima, lakini yeye kutimiza jukumu lake lolote la kike ni hiyari yake mwenyewe anaweza akafanya au asifanye, Na hutakiwi kulalamika.
3.Siku ukimfumania anakazwa na mwanaume mwingine, yakupasa ujiangalie wewe mwenyewe je umekosea wapi mpaka anaenda kutoumbwa na mwanaume mwingine?? Kwa kifupi tu akitiwa nje ukubali kwamba kosa ni la kwako wewe mwanaume na tena inapaswa umuombe msamaha.
4.Ikitokea amekunyima unyumba hata miezi mitatu hautakiwi kuchepuka Bali ni kutafuta ufumbuzi wa tatizo ni nini hasa kinamfanya akunyime uchi.. na Tena ikiwezekana nenda kamtembeze sehemu kama Serengeti huko mbugani pengine labda atakuhurumia na hatimae kukupa uchi.
5.Siku ikitokea amechukua mkopo bila kukujulisha wewe na akaweka Bondi nyumba mnayoishi, halafu baadae akashindwa kulipa deni, itabidi wewe mume wake umlipie deni hilo na usihoji kabisa kwamba hizo pesa alizochukua mkopo amefanyia nini kwani ukisha hoji tu huo sio uanaume.
6.Ikitoke mpata mtoto ndani ya ndoa yenu hata kama mtoto huyo ana sura ya kichina au kiarabu wakati wewe na mkeo wote ni wamatumbi, hautakiwi kabisa kwenda kufanya DNA test.. maana kitanda haki Zaid Haram na mtoto wa mkeo ni wako na lazima uwajibike kama baba.
7.Endapo kama mkeo ni mkorofi na ana mdomo mchafu usiokuwa na staha, na mara kwa mara anakutolea matusi, basi yakupasa uwe mnyenyekevu kwake hili usimuudhi akawa anakivunjia heshima mbele za watu.
8.Siku zote hakikisha mke wako ndio anakuwa kipaumbele chako namba Moja yaana hata mama yako mzazi aliyokuweka tumboni miezi 9 hatakiwi kabisa kuwa na thamani sawa au zaidi ya mkeo.. yaani mke wako ndio awe kioo chako na uwe tayari kuzinguana na familia yako kwa sababu ya mkeo.
9.Siku ikitokea mkeo amekuchoka na anataka kuachana na wewe hata bila sababu za msingi, basi hauna haja ya kugawana nae Mali... Wewe Cha kufanya chukua begi lako muachie Kila kitu kwanzia nyumba mpaka gari ulyokuwa unatumia, kisha nenda kaanze maisha mapya sehemu nyingine kabisa ila
ukumbuke kutoa hela ya matunzo ya watoto kwa kipindi chote mpaka pale watoto watakapoanza kujitegemea.
10.Kama huna
sifa hata Moja kati ya hizo 9 hapo, basi wewe Bado ni mvulana na haujakidhi kuwa husband material.
WEWE SI UMEKUJA NA SIFA ZA WIFE MATERIAL AMBAYE TAFSIRI YAKE NI MWANAMKE ZOBA SIO??.... SASA MIMI NIMEKUWEKEA HAPO SIFA 10 ZA HUSBAND MATERIAL KWA MUJIBU WA HAO HAO WALIOKUTUMA(modern feminists), NA KIMSINGI NI SIFA ZA MWANAUME MPUMBAVVU WA MWISHO NA KWA BAHATI MBAYA SANA HIZO SIFA NILIZOTAJA HAPO ZIKO REALISTIC MAANA KUNA WANAUME MKO NAZO.