"Wife material" ukichunguza kwa tafsiri ya wanaume walio wengi maana yake ni mwanamke "zoba"

Kwahiyo mama yako ni mjinga na zoba ndo maana alipendwa na baba yako?
Huenda ni ndiyo mkuu,au uliandika ili ajisikie vibaya? Maana hapo ni pamoja na mama yako pia😉😊
 
wanaume wa kiafrika hawajiamini mwanamke akiwa msomi hawamtaki
,akiwa na hela hawamtaki
akiwa na exposure ya vitu vya maana hawamtaki

yani wanataka mwanamke awe mjingamjinga
And thats nature, wooow!
 
Hata na hivyo mwanamke umeumbwa kuwa weak (zoba) kwa mwanaume tangu misingi ya uumbaji (soma biblia)
 
Mume akipendwa na mkewake....hata ateseki....
Wanaume wenyewe kazi muda wote
Hivyo vyombo kuviosha atanisaidia saa ngapi?
Yaan mwanaume uliyebusy masaa yote kufanya kazi ukaoa mke yupo busy masaa yote kazini usitegemee kuhudumiwa..hapo mtagombana tu kwa kweli...umechoka kachoka...
 
Sasa mkuu izo sifa ulizozitaja zikiwa kinyume chake kuna mke tena hapo?
 
Samahani mtoa mada wewe ni mwanamke au mwanaume?
 
WAtu kama wewe ndio wanaume wajinga ambao mmepumbazwa akiki na mfumo jike uliosimikwa duniani kwa sasa

Nyie ndio mmekalikishwa kwamba mwanaume kushusha standars zako na kukubaliana na disrespects na ujinga wa mwanamke ndio usasa. Mtu kama wewe hata ukioa katika iyo ndoa mke ndie atakua mume.

Mwanamke kuwa na exposure sijui empowered haimuondolei takwa la kuwa na heshima na utiifu kwa mumewe
 
Tafsiri ya wife material ni Mishangazi
 
Huenda ni ndiyo mkuu,au uliandika ili ajisikie vibaya? Maana hapo ni pamoja na mama yako pia😉😊
Mm nimemuuliza swali kutokana na comment yake aliyo iweka juu ya wanaume wa kiafrika.
Amesema wanaume wa kiafrika hatujiamini ndio maana huwa tunapenda wanawake wajinga wajinga.
 
Upo sahihi.
 
Sijamtukana nimemuuliza swari kutokana na koment yake.
Kwenye moment yake amedai kuwa wanaume wa kiafrika hatujiamini hivyo tunapenda wanawake wajinga na mazoba.
Yuko sasa wanaume kwel tunataka awe mjinga mjinga aone kila afanyalo mwanaume ni bora sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…