"Wife material" ukichunguza kwa tafsiri ya wanaume walio wengi maana yake ni mwanamke "zoba"

Hizi ndo fikra za ma "feminist" chukueni tahadhari feminists at work.
 
Sasa kwa akili hiyo utakuwa mke wa nani, labda km hujui maana ya mke.
Ndiyo maana nimeandika kuwa huyo anayeitwa "mke" ni lazima awe na uzezeta. Lkn mwenye akili siyo "mke"
 
Hizi ndo fikra za ma "feminist" chukueni tahadhari feminists at work.
Bahati mbaya wanawake wanaojielewa na kuelewa haki zao huitwa feminists
 
Akubali kutii Sheria pasipo kusema anagandamizwa
 
Bahati mbaya wanawake wanaojielewa na kuelewa haki zao huitwa feminists
Kuzijua haki zako kuendana na kujua wajibu wako ili uweze kutimiziwa izo haki zako. Hao feminist wanazijua haki zao lakini hawajui wajibu wao.

Huo upuuzi wa feminism sio mambo yetu kabisa. Tungewaachia tu wazungu. Hakuna namna feminism inaweza kuwa practicable bila kuangamiza taasisi za ndoa na familia.
 
Nakazia hapa
 
Hata na hivyo mwanamke umeumbwa kuwa weak (zoba) kwa mwanaume tangu misingi ya uumbaji (soma biblia)
Ah wapiii...biblia ninayosoma imehighlight wanawake kama wakuu sana sana sana. Tena vinara mno, ukiachia wachache kama kina Jezebel, though alikua kinara wa upande wa pili. Sara, Esther, Judith, Tabitha, Abigael, Debora, Rachel, Rebecca, Ruth, Queen of Sheba hawakuwa wanyonge....strong figures actually. Na biblia inamtaka wife material awe kontawa haswa....soma Mith 31 ndugu. Baba zetu mko very weak saivi ndo maana kila siku kuanzisha nyuzi za kuomba ushauri namna mnateseka sijui mnashauriana au kuwakandia wanawake huku mtaani mnatetemeka hatari. Read your bible....
 
Kaka watu kama huyu mleta mada anayejiita G4N sio tu kwamba Sasa hivi wanatetea wanawake, Bali mfumo jike umewafundisha mpaka kuchukia wanaume wenzao ambao hawako kama wao... Yaani mwanaume ambaye sio simp kwao ni adui.

Hili bandiko lake aliloleta hapa ni wazi kabisa amelitoa kwenye magroup ya mafeminists huko na amelichukua kama lilivyo bila hata kulichuja, ndio maana limejaa exaggerations nyingi sana za kipumbavvu.

Kijana wa ovyo kama huyo bila shaka ameaminishwa kuwa:

1.Mwanamke mwenye kiburi asiye na utii ndio mwanamke mwenye confidence.

2.Mwanamke mbishi, mjuaji mwenye dharau ndio mwanamke anayejielewa na kutambua Haki zake....!!

3.Mwanamke Malaya anayezaa ovyoo bila ndoa Tena Kila mtoto na baba yake, ndio mwanamke mbaye Yuko huru anajitambua na anajua kupambana


Kwa ufupi tu huyo kijana amekuwa brainwashed na modern feminists kuamini kwamba mbaya ndio sahihi na sahihi ya kweli ni ukandamizaji wa mwanamke.

Vijana kama huyo huwa ni hatari sana hao hawashindwi kukuua wewe hili tu wawafurahishe wanawake pale inapobidi..
 
Tukiachana na huu ushuzi uliotuandikia hapa ambao hauna uhalisia hata chembe..

Je, umewahi kuwauliza hao shoga zako mafeminists tafsiri yao ya Husband material?

Kama hujui basi acha nikujuze sifa kuu za husband material kwa mujibu wa hao feminists ambao naamini ndio wamekupa hili bandiko utuletee humu.

1.kwanza ni lazima ukubali pesa zako ni za kwenu wote ila za kwake ni zake peke yake, usipokubaliana na hili wewe ni mvulana.

2.Lazima ukubali kuwa kutimiza majukumu yako ya kiume hasa kuprovide ni lazima, lakini yeye kutimiza jukumu lake lolote la kike ni hiyari yake mwenyewe anaweza akafanya au asifanye, Na hutakiwi kulalamika.

3.Siku ukimfumania anakazwa na mwanaume mwingine, yakupasa ujiangalie wewe mwenyewe je umekosea wapi mpaka anaenda kutoumbwa na mwanaume mwingine?? Kwa kifupi tu akitiwa nje ukubali kwamba kosa ni la kwako wewe mwanaume na tena inapaswa umuombe msamaha.

4.Ikitokea amekunyima unyumba hata miezi mitatu hautakiwi kuchepuka Bali ni kutafuta ufumbuzi wa tatizo ni nini hasa kinamfanya akunyime uchi.. na Tena ikiwezekana nenda kamtembeze sehemu kama Serengeti huko mbugani pengine labda atakuhurumia na hatimae kukupa uchi.

5.Siku ikitokea amechukua mkopo bila kukujulisha wewe na akaweka Bondi nyumba mnayoishi, halafu baadae akashindwa kulipa deni, itabidi wewe mume wake umlipie deni hilo na usihoji kabisa kwamba hizo pesa alizochukua mkopo amefanyia nini kwani ukisha hoji tu huo sio uanaume.

6.Ikitoke mpata mtoto ndani ya ndoa yenu hata kama mtoto huyo ana sura ya kichina au kiarabu wakati wewe na mkeo wote ni wamatumbi, hautakiwi kabisa kwenda kufanya DNA test.. maana kitanda haki Zaid Haram na mtoto wa mkeo ni wako na lazima uwajibike kama baba.

7.Endapo kama mkeo ni mkorofi na ana mdomo mchafu usiokuwa na staha, na mara kwa mara anakutolea matusi, basi yakupasa uwe mnyenyekevu kwake hili usimuudhi akawa anakivunjia heshima mbele za watu.

8.Siku zote hakikisha mke wako ndio anakuwa kipaumbele chako namba Moja yaana hata mama yako mzazi aliyokuweka tumboni miezi 9 hatakiwi kabisa kuwa na thamani sawa au zaidi ya mkeo.. yaani mke wako ndio awe kioo chako na uwe tayari kuzinguana na familia yako kwa sababu ya mkeo.

9.Siku ikitokea mkeo amekuchoka na anataka kuachana na wewe hata bila sababu za msingi, basi hauna haja ya kugawana nae Mali... Wewe Cha kufanya chukua begi lako muachie Kila kitu kwanzia nyumba mpaka gari ulyokuwa unatumia, kisha nenda kaanze maisha mapya sehemu nyingine kabisa ila ukumbuke kutoa hela ya matunzo ya watoto kwa kipindi chote mpaka pale watoto watakapoanza kujitegemea.

10.Kama huna sifa hata Moja kati ya hizo 9 hapo, basi wewe Bado ni mvulana na haujakidhi kuwa husband material.

WEWE SI UMEKUJA NA SIFA ZA WIFE MATERIAL AMBAYE TAFSIRI YAKE NI MWANAMKE ZOBA SIO??.... SASA MIMI NIMEKUWEKEA HAPO SIFA 10 ZA HUSBAND MATERIAL KWA MUJIBU WA HAO HAO WALIOKUTUMA(modern feminists), NA KIMSINGI NI SIFA ZA MWANAUME MPUMBAVVU WA MWISHO NA KWA BAHATI MBAYA SANA HIZO SIFA NILIZOTAJA HAPO ZIKO REALISTIC MAANA KUNA WANAUME MKO NAZO.
 
Kwamba Kuna wanaume wako nazo eti🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…