mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Heaven on earth wewe ubarikiwe una busara sana na una kila sifa ya kuwa wife material hata kwa comments na threads zako.
Mamndenyi nawe sana ubarikiwe nahisi una ndoa yako tayari dumisha mapenzi motomoto kwa mzee Bujibuji mbarikiwe ndoa yenu idumu iwe na miaka mingi na watoto wengi wa kike na wa kiume wenye busara kama Hamidini ,wengine wawe sukari ya warembo wa JF kama Boss, wasitapetape kutafuta ma girlfriends na disappointments plus breakups kama za makapela walio katika stage ya kutafuta soulmates wao lakini hawajapata kama mwekundu mwenyewe, mshinga,etc
Lara 1 naye ni wife material? mhh.......... too brave kama mwenyewe ulivyokaandika nadhani huko uliko wanaume wanasanda,the problem with your type huwa mnachelewa sana kuolewa lakini ukizubaa wale wajanja wa town wanapita sana them you end up with no promises but ndo type ya wanawake ambao they know their rights sana na wakipenda wanapenda kweli tena muda mwingine wanaangukia au kunasa kwenye tundu bovu naaminigi hivyo , the more the intelligent the more you chase away guys.
Nawakilisha who's your wife material hapa MMU,the queen of your dream you wish to have so that when you have a such girl/woman your dreams become fulfilled and you will be settled