Wifi anatoa siri za ndani kwa housegirl.

Wifi anatoa siri za ndani kwa housegirl.

Yaani hata hili nalo umekuja kuuliza humu??
Wewe unashindwa kumwambia wifi yako kuhusu umbea wa bek3?..are you serious??
Hawa mabeki3 mbona mnawapa sana nguvu??
 
Tena unaweza kuta naye ana discuss na huyo huyo h/girl na majirani pia. Maana anaonekana yuko aware na data walizo nazo majirani...amejuaje kama nae akai kwenye majungu na umbea?

Haya mambo ya uwifi haya. Mi nashukuru mume wangu kwao wote ni wanaume.

True. The one who tells you about others is the one who tells others about you
 
Biashara matangazo ati. Wewe toa terms mbona wateja tupo.

Nilikuta comment moja Michuzi Blog. Jamaa analalamika eti kuna kampuni iko PPF Tower inauza software za kutrack mazungumzo ya simu.

Mimi mwenzenu nikaona mbona hii ni good news. yeye kaona ni kikwazo...kumbe ameitangaza kiaina. Anasema serikali iifute. Mwe! Nikija huko lazima niitafute aisee.

seriously NK?i am available if u have a problem just ni PM tu mama!!ila wakuu hapa watamind sana i know!!!ha ha haaa...all in all the service is available
 
Sasa wewe umeleta huu uzi ili iweje? Tumnange wifi yako au? Unataka ushauri wakati wewe pia ni third third party?

Ngoja nikwambie kitu...huyo wifi yako ni wa kumsaidia kimawazo na si kumtundika na kumcheka.

Wanawake wengi wako so insecure na inapofikia situation kama hiyo si wote wana busara za yupi wa ku share nao yaliyopo moyoni. Wewe una mume?

Ni kweli kuwa haipaswi kumuonyesha house girl kuwa huna imani na mumeo...ila fact kuwa yuko mbali ameona atapata clue kupitia kwa h/girl which is wrong. Lakini jua yuko confused na anataka comfort si kuchekwa.

Ukizingatia Tanzania private investigators hawapatikani...unakuta anaamua kutumia any means at her disposal kukusanya data za mumewe.

Muite umwambie kama unampenda wifi yako...mwambie huyu H/girl si wa kumpa siri zako...hata mimi najuua mnayoongea., hata majirani wanajua. Tafuta mwingine wa ku m-confide si h/girl...maana it seems like she needs someone to talk to.

Ningekuwa kama unavyoefikiri kwamba namcheka ningekuwa nishamwambia kaka au ndugu wa karibu siku nyingi. Na huyu housegirl sio mtu wa wewe kuwa mbea yeye ndo akwambie ukifika tu ' kuna kitu nataka nikwambie aunt' ukisema nini tu una sentensi kama kumi masikioni..Kuna kipindi huwa namwambia awe na adabu lakini huwa hanyamazi kuna kipindi nilimuogopa nikahisi labda ni mbinu za kutaka maneno kwangu apate la kusema.
 
Namshangaa na mie!
Wewe mleta mada ndo una tabia mbaya! Tena isiyofaa!
Mie huwa namshangaa mtu anaezoeana na hgeli wa mtu! Wewe wakati hgeli wa wifi yako akikuambia hayo yote wifiyo na kakako wanakuwa wako wapi? Unaendaje kwa kakako wakati wenyeji hawapo! Si utakuja kuitwa mchawi wewe? Unapataje muda wa kupiga michapo na hgeli asie wako?

Rekebisha tabia yako! Na sio kazi yako kumuambia wifi yako. Na kwa taarifa tu, huyo hgeli kila unachomuambia ujue anamuambia wifi yako. Siku ukiingia kwenye 18 zake watakusuta wote wawili!
Kwanza nina wasiwasi na nyie mnamteta wifi yenu kwa h/girl...ni mule mule tu.

Wote mna feed data zisizomuhusu kila mtu kwa muda wake.
 
Hamna kitu kibaya kama hiki aisee! Usithubutu kuingilia hgeli wa mtu unless ni madhara kwa watoto wao. Kila mtu anamjua maid wake yukoje, na ana udhaifu gani na kuna anachompendea. Anaweza kuwa mdaku ila anaangalia watoto vizuri na ni msafi. Ukimsema hapo tayari ugomvi na wifi.
Yaani hata hili nalo umekuja kuuliza humu??
Wewe unashindwa kumwambia wifi yako kuhusu umbea wa bek3?..are you serious??
Hawa mabeki3 mbona mnawapa sana nguvu??
 
huyo mama yuko stressed na yeye kama binadamu wengine anahitaji kushare matatizo yake na watu wengine ulaya kuna washauri wa mambo ya ndoa kwa sisi kwetu dada zetu wanashare na watu wao wa karibu iwe housegirl au friend!
 
Hamna kitu kibaya kama hiki aisee! Usithubutu kuingilia hgeli wa mtu unless ni madhara kwa watoto wao. Kila mtu anamjua maid wake yukoje, na ana udhaifu gani na kuna anachompendea. Anaweza kuwa mdaku ila anaangalia watoto vizuri na ni msafi. Ukimsema hapo tayari ugomvi na wifi.

Kipi bora ku'rescue' ndoa ya kakaake au kumuacha beki3 mbea aeneze udaku kisa tu analea watoto vizuri na ni msafi??
 
mahouse girl ni noumer,

kuna uwezekano kuwa ni kweli wifi yako anamwambia hzo habari huyo house girl

lakini kuna uwezekano mkubwa zaid kuwa huyo hg antunga story zake mwenyewe ili kuwagombanisha

na inawezekana pia huyo hg huwa anasikiliza mazungumzo ya wifiyo na my husby wake wakiwa wanaongea.....

kama ulivyosema umemkuta mara kadhaa hg akimwandalia kakiyo msosi akiwa amevaa kiutatautata, inawezekana nia yake ni kuchonganisha ili amiliki mji

kuna uwezekano pia huwa anakusema wewe pia kwa wifi yake.....

sasa basi...
tafuta namna yoyote umchombeze wifi yako ili umweleze kuhusiana na hili

nawajua ma hg, nimeishi nao wengi, trust me, inawezekana anawachezea akili wote na anaongea na kila mmoja wenu kwa wakati wake...............
 
lakini mm nasema hawa Mabeki 3 ni wa kufumuliwa mabao mbona kila thread ya leo ni wao tu tena wanachonganisha badala ya kusaidia?
 
Back
Top Bottom