Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Ungetumia vitu vya asili usingeteseka hvo nimepitia same situation na sikwenda hospital nikupambana na Hali yangu, na kutumia vtu asilia Leo nadunda zangu, hapo ungejifukiza, uchemshe tangawizi, limao na asali kifua kingeachia, shukuru Mungu upo hai aisee.
Mimi nilifikia stage ya blood cloting, Thanks to Tangawizi, Vitunguu Swaumu, Manjano na Abati Soda na nilikula Prednisolone tablets 183 ndani ya siku 14! Vitamin E, Vitamin C, Zinc, Amoxylin, mpaka nyingine sikumbuki! Corona isikieni tu!
Asante sanaPole na hongera kwa kupona.
hatari sna mzee ule uwezo wa kupoteza kunusa ndio balaaCOVID-19 inakua shida pale mbavu zinabana na kupumua kwa shida. Ukivuka hiyo stage salama basi unamshukuru Mungu.
Ungetumia vitu vya asili usingeteseka hvo nimepitia same situation na sikwenda hospital nikupambana na Hali yangu, na kutumia vtu asilia Leo nadunda zangu, hapo ungejifukiza, uchemshe tangawizi, limao na asali kifua kingeachia, shukuru Mungu upo hai aisee.
I feel you. Nilipitia the same situation japo sikufikia stage ya kuzidiwa sana.Mimi nilifikia stage ya blood cloting, Thanks to Tangawizi, Vitunguu Swaumu, Manjano na Abati Soda na nilikula Prednisolone tablets 183 ndani ya siku 14! Vitamin E, Vitamin C, Zinc, Amoxylin, mpaka nyingine sikumbuki! Corona isikieni tu!
ulitumia mda gani kuponaMimi nilifikia stage ya blood cloting, Thanks to Tangawizi, Vitunguu Swaumu, Manjano na Abati Soda na nilikula Prednisolone tablets 183 ndani ya siku 14! Vitamin E, Vitamin C, Zinc, Amoxylin, mpaka nyingine sikumbuki! Corona isikieni tu!
Bora upoteze uwezo wa kunusa ila sio kuishiwa pumzi. Hii ni mbaya zaidihatari sna mzee ule uwezo wa kupoteza kunusa ndio balaa
Shortage of breath ilinipata pia nikahisi nakata moto na familia ikaanza kukata tamaa lakini Dr aliyekuwa ananisaidia akasema muhimu ni kudhibiti cloting kwanza na kweli, breathing ikaimarika siku hadi siku baada ya kudhibiti clotingI feel you. Nilipitia the same situation japo sikufikia stage ya kuzidiwa sana.
Niliexperince Some shortage of breath and fatigue.
Anyway tuendelee kuchukua tahadhari maana bado Corona ipo
Shortage of breath ilinipata pia nikahisi nakata moto na familia ikaanza kukata tamaa lakini Dr aliyekuwa ananisaidia akasema muhimu ni kudhibiti cloting kwanza na kweli, breathing ikaimarika siku hadi siku baada ya kudhibiti cloting
Wiki tatu hivi Mkuu! Nilikataa kwenda Hosp kabisa, nilitengwa na kuhudumiwa nyumbani. Mainly ilikuwa ni Tiba za kiHospital, Kienyeji na Mazoezi(hapa ni pagumu lakini naamini palinisaidia SANA hasa cardio issues)ulitumia mda gani kupona
Mimi ndio viliniponyesha dawa ya hospital hazikufua dafu, nilipopiga tangawizi, asali na limao, kifua kikaachia, homa nikaanza kupumua vizuri, wanaosema corona haipo nawashangaayaani mule mule vitu vya asili ndio vyenyewe
Dawa alizotumia Dr sizijui zaidi ya Vitamin E nyingine ilikuwa ni Dripu na Sindano.ulitumia nn kudhibiti cloting
Hii story mbona kama inamuongelea mjomba wangu wa Tandale.COVID-19 IPO!!
Haya ni maelezo ya Rafiki yangu na tukio hilo ni kuanzia takribani 20 Juni 2020.
Kwa ruhusa yake nimeweza kuweka uzi huu hapa ambapo maelezo yake binafsi. Corona ipo!!!!
Wakuu hbr zenu
Ni kama wiki imepita niliomba dawa ya flue, na nashukuru mlinipa options.
Toka siku ile sikuweza kuingia tena humu hadi siku ya leo
In short nilikua tait sana kupigania uhai, baada ya kuzunguka hospital 4 ikaonekana nina dalili zote za covid
Nashukuru Mungu kuniwezeaha angalau kuwa hai, huu ugonjwa unaua kwa kweli.
Siku ya J2 yote sikuweza kuongea neno hata moja nikiwa na madrip nikizungukwa na ndugu na jamaa Nlikua nimeshakata tamaa na umauti ulinikaribia.
Bila kujua kuwa naumwa na nini, hospitali niliyokuwepo wakaja na kudeclare wameshindwa hivyo wananipa refferal kwenda SekoToure kisha Bmc kama itafaa.
Sikua naongea lkn niliwaskia wakiongea...niliingiwa na wsws sana. Imagine hiyo ni hospital ya 3 nahama na wao wanasema walipoishia wanaona hawana option ingine..drip bado liko mkononi tukisubiria liishe ndipo niondolewe.
Drip lilipoisha basi nlilibebwa na staff wenzangu huku wakibishana, SekoT kubaya jamaa ataenda kufa huyu..eh basi mm siwezi hata kuchangia point.
Hatimaye nikapelekwa Kamanga Hosp ni kampuni kubwa private.
Tulisafiri kama dk25 hv kuna umbali, nikafika pale wakanibeba kwa wheeelchair hadi wordini.
Nilikua nakohoa jmn, mpk mbavu zinatoa mlio.
Nikapigwa sindano ya matakoni ili nikae sawa.
Angalau baada ya nusu saa ndipo nikaweza kuongea na Dr.
Nikaelezaaaa akasema sasa mbona krb kila
Kitu umepimwa, nikusaidieje.
Nakumbuka kusema, naogopa kurudi nyumbani naomba nikae tu hapa hapa.
Nilikua nimekata tamaa kbs.
Nikaanza kupimwa upya tena.
Yani nimetobolewa hii mwili jamani.
Wakaanza kupima, mara fully blood picture, mara sijui serum eeh
Mimi nawaza tu hapa siondoki..kufika sa5 hv wakaja na majibu.
Huna ugonjwa wowte ila kapimzike nyumbani[emoji2307][emoji2307]
Nilihisi kuwa sasa ni wkt wa kuaga ndg na jamaa.
Nilikua natoa machozi kama mtoto..nikajipa moyo nikasema sawa.
Nikaomba jamaa angu afate gari akanifata, around sa6 nikafika home...nawaza tu jmn hv naeza kufa.
To make the story short, siku ilofata nlitembelewa na watu wengi home..mmojawapp ni mtu aliyekua ameugua kama mm. So aliponiona akasema ‘tyr huyu’
Walioondoka wengine akaniambia, ‘bro unajua una covid19’.
Nikasema whaaaaat?
Akampigia Dr wake akamwelelzea nilivyokua jana yake na juzi..akanipa pia nikaongea nae.
Dr akasema bro acha story fata covid kit.
Kwa kweli nikaanza kutumia hiyo kit.
Angalau nimepata afadhali..
Saivi angalau nina matumain ya kuishi.
Nimeamua kuandika angalau itawasaidia.
Mimi sio daktari lakini naweka picha za baadhi ya dawa.
Corona ipo na inaua, usidanganyike na tantalila za maccmKwani huu Ugonjwa bado upo?
Mbona Job yupo na mtambi wake + ufupi kama nyundo lakini anakomaaa tu.Naskia wenye vitambi kama wewe, mnapata shida sana kupumua.
Refer walio angushwa na covid kule mjengoni.