Wiki 2 za kupigania Uhai wangu dhidi ya Covid-19

COVID-19 IPO!!
Haya ni maelezo ya Rafiki yangu na tukio hilo ni kuanzia takribani 20 Juni 2020.
Kwa ruhusa yake nimeweza kuweka uzi huu hapa ambapo maelezo yake binafsi. Corona ipo!!!!

Wakuu hbr zenu
Ni kama wiki imepita niliomba dawa ya flue, na nashukuru mlinipa options.

Toka siku ile sikuweza kuingia tena humu hadi siku ya leo

In short nilikua tait sana kupigania uhai, baada ya kuzunguka hospital 4 ikaonekana nina dalili zote za covid

Nashukuru Mungu kuniwezeaha angalau kuwa hai, huu ugonjwa unaua kwa kweli.

Siku ya J2 yote sikuweza kuongea neno hata moja nikiwa na madrip nikizungukwa na ndugu na jamaa Nlikua nimeshakata tamaa na umauti ulinikaribia.

Bila kujua kuwa naumwa na nini, hospitali niliyokuwepo wakaja na kudeclare wameshindwa hivyo wananipa refferal kwenda SekoToure kisha Bmc kama itafaa.

Sikua naongea lkn niliwaskia wakiongea...niliingiwa na wsws sana. Imagine hiyo ni hospital ya 3 nahama na wao wanasema walipoishia wanaona hawana option ingine..drip bado liko mkononi tukisubiria liishe ndipo niondolewe.

Drip lilipoisha basi nlilibebwa na staff wenzangu huku wakibishana, SekoT kubaya jamaa ataenda kufa huyu..eh basi mm siwezi hata kuchangia point.

Hatimaye nikapelekwa Kamanga Hosp ni kampuni kubwa private.

Tulisafiri kama dk25 hv kuna umbali, nikafika pale wakanibeba kwa wheeelchair hadi wordini.

Nilikua nakohoa jmn, mpk mbavu zinatoa mlio.

Nikapigwa sindano ya matakoni ili nikae sawa.
Angalau baada ya nusu saa ndipo nikaweza kuongea na Dr.
Nikaelezaaaa akasema sasa mbona krb kila
Kitu umepimwa, nikusaidieje.
Nakumbuka kusema, naogopa kurudi nyumbani naomba nikae tu hapa hapa.
Nilikua nimekata tamaa kbs.
Nikaanza kupimwa upya tena.
Yani nimetobolewa hii mwili jamani.

Wakaanza kupima, mara fully blood picture, mara sijui serum eeh
Mimi nawaza tu hapa siondoki..kufika sa5 hv wakaja na majibu.
Huna ugonjwa wowte ila kapimzike nyumbani🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Nilihisi kuwa sasa ni wkt wa kuaga ndg na jamaa.
Nilikua natoa machozi kama mtoto..nikajipa moyo nikasema sawa.

Nikaomba jamaa angu afate gari akanifata, around sa6 nikafika home...nawaza tu jmn hv naeza kufa.

To make the story short, siku ilofata nlitembelewa na watu wengi home..mmojawapp ni mtu aliyekua ameugua kama mm. So aliponiona akasema ‘tyr huyu’

Walioondoka wengine akaniambia, ‘bro unajua una covid19’.

Nikasema whaaaaat?

Akampigia Dr wake akamwelelzea nilivyokua jana yake na juzi..akanipa pia nikaongea nae.

Dr akasema bro acha story fata covid kit.

Kwa kweli nikaanza kutumia hiyo kit.

Angalau nimepata afadhali..
Saivi angalau nina matumain ya kuishi.

Nimeamua kuandika angalau itawasaidia.
Mimi sio daktari lakini naweka picha za baadhi ya dawa.
Hivyo COVID kit ndiyo nini?
 
Mimi ndio viliniponyesha dawa ya hospital hazikufua dafu, nilipopiga tangawizi, asali na limao, kifua kikaachia, homa nikaanza kupumua vizuri, wanaosema corona haipo nawashangaa
Kwa hiyo unamshangaa mgombea urais wa ccm bwana magufuli ?
 
COVID-19 IPO!!
Haya ni maelezo ya Rafiki yangu na tukio hilo ni kuanzia takribani 20 Juni 2020.
Kwa ruhusa yake nimeweza kuweka uzi huu hapa ambapo maelezo yake binafsi. Corona ipo!!!!

Wakuu hbr zenu
Ni kama wiki imepita niliomba dawa ya flue, na nashukuru mlinipa options.

Toka siku ile sikuweza kuingia tena humu hadi siku ya leo

In short nilikua tait sana kupigania uhai, baada ya kuzunguka hospital 4 ikaonekana nina dalili zote za covid

Nashukuru Mungu kuniwezeaha angalau kuwa hai, huu ugonjwa unaua kwa kweli.

Siku ya J2 yote sikuweza kuongea neno hata moja nikiwa na madrip nikizungukwa na ndugu na jamaa Nlikua nimeshakata tamaa na umauti ulinikaribia.

Bila kujua kuwa naumwa na nini, hospitali niliyokuwepo wakaja na kudeclare wameshindwa hivyo wananipa refferal kwenda SekoToure kisha Bmc kama itafaa.

Sikua naongea lkn niliwaskia wakiongea...niliingiwa na wsws sana. Imagine hiyo ni hospital ya 3 nahama na wao wanasema walipoishia wanaona hawana option ingine..drip bado liko mkononi tukisubiria liishe ndipo niondolewe.

Drip lilipoisha basi nlilibebwa na staff wenzangu huku wakibishana, SekoT kubaya jamaa ataenda kufa huyu..eh basi mm siwezi hata kuchangia point.

Hatimaye nikapelekwa Kamanga Hosp ni kampuni kubwa private.

Tulisafiri kama dk25 hv kuna umbali, nikafika pale wakanibeba kwa wheeelchair hadi wordini.

Nilikua nakohoa jmn, mpk mbavu zinatoa mlio.

Nikapigwa sindano ya matakoni ili nikae sawa.
Angalau baada ya nusu saa ndipo nikaweza kuongea na Dr.
Nikaelezaaaa akasema sasa mbona krb kila
Kitu umepimwa, nikusaidieje.
Nakumbuka kusema, naogopa kurudi nyumbani naomba nikae tu hapa hapa.
Nilikua nimekata tamaa kbs.
Nikaanza kupimwa upya tena.
Yani nimetobolewa hii mwili jamani.

Wakaanza kupima, mara fully blood picture, mara sijui serum eeh
Mimi nawaza tu hapa siondoki..kufika sa5 hv wakaja na majibu.
Huna ugonjwa wowte ila kapimzike nyumbani🙆🏿‍♂️🙆🏿‍♂️
Nilihisi kuwa sasa ni wkt wa kuaga ndg na jamaa.
Nilikua natoa machozi kama mtoto..nikajipa moyo nikasema sawa.

Nikaomba jamaa angu afate gari akanifata, around sa6 nikafika home...nawaza tu jmn hv naeza kufa.

To make the story short, siku ilofata nlitembelewa na watu wengi home..mmojawapp ni mtu aliyekua ameugua kama mm. So aliponiona akasema ‘tyr huyu’

Walioondoka wengine akaniambia, ‘bro unajua una covid19’.

Nikasema whaaaaat?

Akampigia Dr wake akamwelelzea nilivyokua jana yake na juzi..akanipa pia nikaongea nae.

Dr akasema bro acha story fata covid kit.

Kwa kweli nikaanza kutumia hiyo kit.

Angalau nimepata afadhali..
Saivi angalau nina matumain ya kuishi.

Nimeamua kuandika angalau itawasaidia.
Mimi sio daktari lakini naweka picha za baadhi ya dawa.
uko kwenu dawa ya NIMR bado hujafika au
 
Hauruhusiwi kutangazwa Korona, ni watu watatu tu na mkuu wa mkoa DSM.
 
Tahadhari haya ni maelezo tu au shuhuda , matumizi ya dawa huenda yasiwe sawa kwa wote. Muhimu ni kwamba tatizo lipo
Pole sana. Pia tumia tangawizi kwa wingi sana ni dawa yenye uwezo mkubwa sana. Saga tangawizi kipande cha saizi ya dole gumba na weka kwenye chai kunywa asubuhi, mchana na jioni ni dawa nzuri sana dhidi ya corona. Pia kunywa juisi ya limao kwenye chai, waweza kuchanganya vyote kwenye chai.
 
Shortage of breath ilinipata pia nikahisi nakata moto na familia ikaanza kukata tamaa lakini Dr aliyekuwa ananisaidia akasema muhimu ni kudhibiti cloting kwanza na kweli, breathing ikaimarika siku hadi siku baada ya kudhibiti cloting
Pole sana Chief
 
Pole mkuu. Ila kwa story yako kuna kitu cha kujifunza. Umepata matibabu kwa zaidi ya Hospitali tatu na zote zilishindwa kubaini Diagnosisi za ugonjwa wa CORONA.
Wanasiasa wanatuaminisha kuwa ugonjwa umeisha kwa Maombi wakati bado watu wanateseka.
Kuna hata mkuu wa nchi fulani anachukulia poa sana, lkn kiuhalisia the thing is real!!!!
 
Huna ugonjwa wowte ila kapimzike nyumbani
Hapa ndio nkaona kuwa hii ni chai na kama so chai basi umerogwa itakuwa.

Maelezo yako yote yanaonesha kuwa ulikaribia kufa, halafu dokta anakwambia huna ugonjwa wowote rudi ukalale. Kwaio alishindwa kuona kuwa mapafu hayafanyi kazi vizuri walau akabahatisha kuwa labda una pneumonia?
 
Dawa alizotumia Dr sizijui zaidi ya Vitamin E nyingine ilikuwa ni Dripu na Sindano.
Kwa zile za kienyeji (naweza kuziita) ilikuwa ni mchanganyiko wa Asali, Tangawizi, Vitunguu Swaumu na Manjano
Alikupa Asprin ina fanya kama kuyeyusha damu
 
COVID-19 IPO!!
Haya ni maelezo ya Rafiki yangu na tukio hilo ni kuanzia takribani 20 Juni 2020.
Kwa ruhusa yake nimeweza kuweka uzi huu hapa ambapo maelezo yake binafsi. Corona ipo!!!!

Wakuu hbr zenu
Ni kama wiki imepita niliomba dawa ya flue, na nashukuru mlinipa options.

Toka siku ile sikuweza kuingia tena humu hadi siku ya leo

In short nilikua tait sana kupigania uhai, baada ya kuzunguka hospital 4 ikaonekana nina dalili zote za covid

Nashukuru Mungu kuniwezeaha angalau kuwa hai, huu ugonjwa unaua kwa kweli.

Siku ya J2 yote sikuweza kuongea neno hata moja nikiwa na madrip nikizungukwa na ndugu na jamaa Nlikua nimeshakata tamaa na umauti ulinikaribia.

Bila kujua kuwa naumwa na nini, hospitali niliyokuwepo wakaja na kudeclare wameshindwa hivyo wananipa refferal kwenda SekoToure kisha Bmc kama itafaa.

Sikua naongea lkn niliwaskia wakiongea...niliingiwa na wsws sana. Imagine hiyo ni hospital ya 3 nahama na wao wanasema walipoishia wanaona hawana option ingine..drip bado liko mkononi tukisubiria liishe ndipo niondolewe.

Drip lilipoisha basi nlilibebwa na staff wenzangu huku wakibishana, SekoT kubaya jamaa ataenda kufa huyu..eh basi mm siwezi hata kuchangia point.

Hatimaye nikapelekwa Kamanga Hosp ni kampuni kubwa private.

Tulisafiri kama dk25 hv kuna umbali, nikafika pale wakanibeba kwa wheeelchair hadi wordini.

Nilikua nakohoa jmn, mpk mbavu zinatoa mlio.

Nikapigwa sindano ya matakoni ili nikae sawa.
Angalau baada ya nusu saa ndipo nikaweza kuongea na Dr.
Nikaelezaaaa akasema sasa mbona krb kila
Kitu umepimwa, nikusaidieje.
Nakumbuka kusema, naogopa kurudi nyumbani naomba nikae tu hapa hapa.
Nilikua nimekata tamaa kbs.
Nikaanza kupimwa upya tena.
Yani nimetobolewa hii mwili jamani.

Wakaanza kupima, mara fully blood picture, mara sijui serum eeh
Mimi nawaza tu hapa siondoki..kufika sa5 hv wakaja na majibu.
Huna ugonjwa wowte ila kapimzike nyumbani[emoji2307][emoji2307]
Nilihisi kuwa sasa ni wkt wa kuaga ndg na jamaa.
Nilikua natoa machozi kama mtoto..nikajipa moyo nikasema sawa.

Nikaomba jamaa angu afate gari akanifata, around sa6 nikafika home...nawaza tu jmn hv naeza kufa.

To make the story short, siku ilofata nlitembelewa na watu wengi home..mmojawapp ni mtu aliyekua ameugua kama mm. So aliponiona akasema ‘tyr huyu’

Walioondoka wengine akaniambia, ‘bro unajua una covid19’.

Nikasema whaaaaat?

Akampigia Dr wake akamwelelzea nilivyokua jana yake na juzi..akanipa pia nikaongea nae.

Dr akasema bro acha story fata covid kit.

Kwa kweli nikaanza kutumia hiyo kit.

Angalau nimepata afadhali..
Saivi angalau nina matumain ya kuishi.

Nimeamua kuandika angalau itawasaidia.
Mimi sio daktari lakini naweka picha za baadhi ya dawa.
Tupe picha ya dawa Basi usaidie wengine Basi. Pole kwa kuumwa.
 
Pamoja na kutumia mchanganyiko wa cariha bado kuna ile ya NIMRI. Kwa dawa ya kizungu au hospitali ni ile ya kuua bakteria ambao wanaambatana na virusi vya corona, dawa ya kuzuia kuganda kwa damu, na paracetamol. Naweka picha hapa, nikitoa ushauri kuwa huwa hakuna experiment kwenye mwili wa mtu! Ili mradi unachotumia hakidhuru mwili, wewe acha ujuaji tumia tu.View attachment 1495575View attachment 1495572View attachment 1495573
1F51E364-C7E0-4FFC-8B7F-791B17DFFA1B.jpeg
View attachment 1495575View attachment 1495572View attachment 1495573View attachment 1495573
 
Tarehe 3/6/2020 nilikuta sms ya dogo.

Mama Anaumwa!
Nikajisemea tu kimoyomoyo, Tayar huyu ila atakaa sawa. Nikapiga simu akanambia kifua kinambana sana, mbavu zinamuma, kichwa ka kuna mtu anakigonga na nyundo, mwili hauna hali. Nikawaambia wampeleke hosp, akapelekwa na Mumewe Buzuruga kituo cha afya akapewa Paracetamo tu

Mama akarudi nyumbani hali ikazidi kuwa mbaya, kesho yake Mumewe akampeleka hos ya Jeshi akapimwa akaambiwa hapo unae mdudu. Hakuna dawa ya kukupa ila cha kufanya, nenda kale sana mchanganyiko wa Kitunguu Saumu, Tangawizi, Limao na asipende kuulaza mwili muda wa mchana. Katumia hivyo vitu na kujifukiza, kadri muda ulivyokuwa unakwenda Nafuu kubwa aliipata, sasa anaendelea vyema.
 
Muoga tu huyo, Covid-19 ukiiogopa inakupeleka, ichukulie ugonjwa wa kawaida japo kweli cha moto utakiona lakini unapona vizuri tu.
Unakuwa mjinga kiasi hiki? Unajua hata wanaofariki kwa corona ni nini kinafanya wafe? Idiot!
 
Mimi nilifikia stage ya blood cloting, Thanks to Tangawizi, Vitunguu Swaumu, Manjano na Abati Soda na nilikula Prednisolone tablets 183 ndani ya siku 14! Vitamin E, Vitamin C, Zinc, Amoxylin, mpaka nyingine sikumbuki! Corona isikieni tu!
Pole sana. Una umri gani? Wataalam wanasema kupona corona determinant factor kubwa ni mwili wako kuweza kupigana na hayo mengine ni yana-play factor ndogo tu.
 
Wengi walofariki walifariki kwa heart attacks, ukiuwazia sana unakufa kwa pressure na shambulio la moyo.
Sio kuuwazia,,damu inaganda,mirija ikiziba ndo wasikia heart attack, stroke,
Ila hiyo ilikuwa kabla hawajagundua kuhusu kuganda kwa damu,,sikuhizi wanawahi na dawa za kufanya damu isigande,
So tatizo kubwa hasa kwa nchi za majuu ni inflamation ya mapafu ,yanaathirika,kujaa maji na hivyo kupona inakuwa bahati,,ila kwa africa naona hii haijawa affect sana
 
ulitumia mda gani kupona
Binafsi niliji isolate mapema tangu April,,japo taarifa za ugonjwa nilikuwa nazo tangu December mwishoni,
Siku moja ukatokea msiba mtaani,ikabidi,kwenda,nikampitia jamaangu dukani kwake ili twende,
So nimekaa benchi namsubili twende,akaja jamaa tukakaa nae akaagiza coca,jamaa anaongea sana,baadae nikajua kumbe ni dreva wa transgood,ndo katoka dsm anaenda congo,.
Nilikaa nae kwa machale,,tatizo anaongea sana,
Baada ya siku kama nne nikapata boonge la homa,,joto linapanda balaa,nikala Pcm ,mentakeflin nikijua ni maralia,
Baadae homa ikashuka,nikaanza kupata ugumu kupumua,,
Kilichofuata ni ulaji mkubwa wa tangawizi ,kituunguu swaumu,limao,,
Nimekuja kuwa sawa mwezi june katikati,,almost miezi miwili naexprience shortness in breathing,hasa nikiwa nimetulia ama kujilaza
 
Back
Top Bottom