Binafsi niliji isolate mapema tangu April,,japo taarifa za ugonjwa nilikuwa nazo tangu December mwishoni,
Siku moja ukatokea msiba mtaani,ikabidi,kwenda,nikampitia jamaangu dukani kwake ili twende,
So nimekaa benchi namsubili twende,akaja jamaa tukakaa nae akaagiza coca,jamaa anaongea sana,baadae nikajua kumbe ni dreva wa transgood,ndo katoka dsm anaenda congo,.
Nilikaa nae kwa machale,,tatizo anaongea sana,
Baada ya siku kama nne nikapata boonge la homa,,joto linapanda balaa,nikala Pcm ,mentakeflin nikijua ni maralia,
Baadae homa ikashuka,nikaanza kupata ugumu kupumua,,
Kilichofuata ni ulaji mkubwa wa tangawizi ,kituunguu swaumu,limao,,
Nimekuja kuwa sawa mwezi june katikati,,almost miezi miwili naexprience shortness in breathing,hasa nikiwa nimetulia ama kujilaza