shayookoko
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 467
- 277
Inawezekana kabisa, hata huyu ndugu yetu angejua tokea mwanzo anasumbuliwa na Nini, Basi angepatwa na mshutuko na huenda angepoteza maisha.Wengi walofariki walifariki kwa heart attacks, ukiuwazia sana unakufa kwa pressure na shambulio la moyo.
Kahangaika mno wakati ishu simple...mimi mwenyewe ilinianza na vidonda vya koo,homa kali,nkaenda hospitali wakanipima FBP nkaonekana nashambuliwa na virus.Ungetumia vitu vya asili usingeteseka hvo nimepitia same situation na sikwenda hospital nikupambana na Hali yangu, na kutumia vtu asilia Leo nadunda zangu, hapo ungejifukiza, uchemshe tangawizi, limao na asali kifua kingeachia, shukuru Mungu upo hai aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka km mazuri.eti nilikaa nae kwa machale.kumbe tayar keshakupasia.Binafsi niliji isolate mapema tangu April,,japo taarifa za ugonjwa nilikuwa nazo tangu December mwishoni,
Siku moja ukatokea msiba mtaani,ikabidi,kwenda,nikampitia jamaangu dukani kwake ili twende,
So nimekaa benchi namsubili twende,akaja jamaa tukakaa nae akaagiza coca,jamaa anaongea sana,baadae nikajua kumbe ni dreva wa transgood,ndo katoka dsm anaenda congo,.
Nilikaa nae kwa machale,,tatizo anaongea sana,
Baada ya siku kama nne nikapata boonge la homa,,joto linapanda balaa,nikala Pcm ,mentakeflin nikijua ni maralia,
Baadae homa ikashuka,nikaanza kupata ugumu kupumua,,
Kilichofuata ni ulaji mkubwa wa tangawizi ,kituunguu swaumu,limao,,
Nimekuja kuwa sawa mwezi june katikati,,almost miezi miwili naexprience shortness in breathing,hasa nikiwa nimetulia ama kujilaza
Bi mkubwa wangu ana presha Ascard-75 huwa namnunuliaga.Pamoja na kutumia mchanganyiko wa cariha bado kuna ile ya NIMRI. Kwa dawa ya kizungu au hospitali ni ile ya kuua bakteria ambao wanaambatana na virusi vya corona, dawa ya kuzuia kuganda kwa damu, na paracetamol. Naweka picha hapa, nikitoa ushauri kuwa huwa hakuna experiment kwenye mwili wa mtu! Ili mradi unachotumia hakidhuru mwili, wewe acha ujuaji tumia tu.View attachment 1495575View attachment 1495572View attachment 1495573View attachment 1495574View attachment 1495575View attachment 1495572View attachment 1495573View attachment 1495573
Unafanya vizuri maana inasaidia damu isigande. Na kila mtu wa Aina hiyo lazima atumieBi mkubwa wangu ana presha Ascard-75 huwa namnunuliaga.
Hizi tiba za asili ni kiboko Sana Mimi nilitumia Hadi antibiotic zikadunda wallahKahangaika mno wakati ishu simple...mimi mwenyewe ilinianza na vidonda vya koo,homa kali,nkaenda hospitali wakanipima FBP nkaonekana nashambuliwa na virus.
Nikapewa dawa ila nkaambiwe nipige nyungu pia.
Nkaanza kupiga nyungu wiki 1 baadae na sasa naendelea poa namshukuru Mungu na bado naendelea kutumia vitu vya asili nyumbani kwangu kama tangawizi,vitunguu swaumu malimau
Zimetusaidia sanaHizi tiba za asili ni kiboko Sana Mimi nilitumia Hadi antibiotic zikadunda wallah
Kweli sijui kwanini Tanzania isiwe inatengeneza kusaidia maradhi na ziwe kwenye package nzuriZimetusaidia sana
Kwani huu Ugonjwa bado upo?