Wiki hii jezi ya Yanga kama vazi la taifa

Wiki hii jezi ya Yanga kama vazi la taifa

Daydream

Member
Joined
Oct 26, 2023
Posts
58
Reaction score
335
Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba.

Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga

Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha

Sijui kama Makolo walikumbuka kumeza P2 😁😁😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣
20231106_231724.jpg
 
Back
Top Bottom