Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko

Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza

Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa

Asanteni
 
Njoo Serena Hotel hutojutia tour yako ya Dar.
 
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko

Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza

Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa

Asanteni
Unataka kuja Dar wakati wewe mwenyewe unaishi Dar? Au unatafuta chimbo la kwenda kuchepukia?
 
Back
Top Bottom