MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
mbona haumkaribishi mgeni mama mkwe[emoji41]Mm mzima kabisa jirani naona unamuelekeza kitaani kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona haumkaribishi mgeni mama mkwe[emoji41]Mm mzima kabisa jirani naona unamuelekeza kitaani kabisa
Ba mkwe huyo mgeni mwenyeji si umeona katuachia thread yake kakimbia mgeni gani angetuachambona haumkaribishi mgeni mama mkwe[emoji41]
Nitakuja mm DadaNjoo upumzike kwangu mama japo uswahilini
kweli kabisa uyo ni mgeni jina tuBa mkwe huyo mgeni mwenyeji si umeona katuachia thread yake kakimbia mgeni gani angetuacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuja ngoja aje kwanza yeyeAkija wewe uje kwangu mzigua
Hongera zake aliokufichaWanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko
Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza
Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa
Asanteni
Utakabwa mpaka ukome kulinga achana napo huko hapafai, deal linasukwa na mwenye guest sijui hotel lile. na wamiliki wengi ni wadengereko hawajui biashara. wanaujuaji wa kishamba they just live hand to mouth.Tandale kwa tumbo pale pako fresh sana
Ahahahaha poa poa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuja ngoja aje kwanza yeye