Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

Karibu kwangu na hakutakuwa na chochote kitakacho endelea wewe utakuwa kama mgeni tu

Karibu sana.
 
Mm mzima kabisa jirani naona unamuelekeza kitaani kabisa

Ndio jirani ninamkaribisha mtaani hata akijisikia mpweke anaweza kuomba kampani kwa majirani, raha ya hili jiji uwe na watu wenye connection [emoji23]
 
Ndio jirani ninamkaribisha mtaani hata akijisikia mpweke anaweza kuomba kampani kwa majirani, raha ya hili jiji uwe na watu wenye connection [emoji23]
Hahahah na mjini jirani lazima uwe na connection
 
Zenziberi...Tena kwa sasa kama una hela yako unaenda itumbua kwa hotel Verda...

Serengeri...Moja ya sehemu maridadi sana ya kutazama uzuri wa nature...

Magoroto...Nature and adventure
Ebu nipeleke uko [emoji847][emoji847]
 
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko

Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza

Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa

Asanteni

Keko, Ukonga na Segerea. Karibu sana Mkuu.
 
Kama hupendi ulabu nenda starlight hotel
 
Ebu nipeleke uko [emoji847][emoji847]
Heheh we si ulinikimbia besidei ya Sak...

Ila one day tatafuta wewe, Magoroto will do when it aint wet or winter season in Lushoto...
 
Heheh we si ulinikimbia besidei ya Sak...

Ila one day tatafuta wewe, Magoroto will do when it aint wet or winter season in Lushoto...
Can't wait kwa kweli [emoji847][emoji847]

Sijakukimbia bwana
 
Kwa budget yako nakushauri ufikie sinza au kijitonyama, au mwenge hotel zipo nzuri na bei rahisi 40k - 100k, uanaweza kufikia star city hotel, double view, mesuma, king D, ila nakushauri fikia Azania hotel ipo sinza kwa remy unaweza kuigugo ukafanya reservation...sababu ya kukushauri maeneo hayo ni kuwa itakuwa rahisi kwako kwenda sehemu nyingi za kuvutia kama vile malls, sehemu za starehe n.k unakuwa upo katikati ya popote utakapohitaji kwenda ningekushauri mbezi beach ila hoteli zao bei mkasi kidogo

Round about ya Kawe - Piccolo Beach kuna vyumba vya shilingi 50,000/- single, pale panaweza kumfaa zaidi.

Jioni anatembea zake kwenda Kawe Club kula samaki, then anarudi kulala.

Kama hataki fujo fujo.
 
Zenziberi...Tena kwa sasa kama una hela yako unaenda itumbua kwa hotel Verda...

Serengeti...Moja ya sehemu maridadi sana ya kutazama uzuri wa nature...

Magoroto...Nature and adventure

Hivi huyu Muungwana ameshaikamilisha hii sehemu, na ile water Park imekamilika? Hii sehemu ni maridadi sana aisee!
 
Back
Top Bottom