Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

fikia pale GOGO HOTEL,ni pazuri na panafaa sana
 
Mtaa gani best
uwanja wa fisi. pale haoajawahi kumuangusha mtu mwenye budget ya kuungaunga.
Ila kama unafweza nenda Pugu Hill pale ukaishi kitalii ndani ya jiji. Hutajuta ila sijui kama bado panafanya kazi.
Hilo chaka wanalijua watu ambao wako ulaya ila majirani hawajui kama ni pa ukweli.
 
Mmmmmh
 
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko

Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza

Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa

Asanteni
Kwetu pazuri ukajione Biriani la Mariam birian
 
Unakuja kwa ajili ya kupumzika tu!

Unakunywa pombe?

Utataka beach hotels (ofcourse kuna cheap choices)!

Utatakuwa na mizunguko au unataka kukaa sehemu utulie?
Sinywi pombe,yenye beach itapendeza,kuzunguka mida ya jioni
 
Back
Top Bottom