Njoo Serena Hotel hutojutia tour yako ya Dar.Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko
Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza
Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa
Asanteni
Unataka kuja Dar wakati wewe mwenyewe unaishi Dar? Au unatafuta chimbo la kwenda kuchepukia?Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko
Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza
Ambao mna fahamu hotel nzuri na mtaa mzuri uliotulia naomba aniarifu hapa coz sina wenyeji sana na hilo jiji pendwa
Asanteni
Si kweli
Hungry Lion Never Sleephyenas grounds mkuu.