Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,903
Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru
 
Naye kanunuliwa?

Halafu isije kuwa ni propaganda zenu tu nyie CHADEMA na CCM maana pia kuna sehemu nimeona mtu anadai kuna watu wakubwa watahama CHADEMA kurudi CCM.

Lema naye alipandisha watu presha akidai kati ya Jumatano na Ijumaa ya wiki hii kuna mvulana atahama CHADEMA na kwenda CCM lakini haikutokea.

Same ‘ol bullshit.
 
Hawa viongozi wengine wanapenda drama za mitandaoni huku kazi wengi ni kaputiiiiiii.

Mtuache leo sikukuuu tupo tunaangalia kinachojiri Dodoma.. ambapo ndio kumekucha
 
Back
Top Bottom