Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Mmeanza kununua?kwi kwi kwi...!!

CCM hamna mtu mkubwa wote ni sawa mbele ya Jicho la chama.

By the way hakuna muadilifu anayeweza kuhama CCM bali fisadi tu...
hata,ANBEN ni mwadilifu??
 
hahahahaha sasa mtamnunua kwa Tsh nagapi?
 
Membe hawapikiki chungu kimoja na Lowassa. Hawezi kuwa Membe labda mwingine.
 
Jana nilimuona A Town na MH.LEMA nikajiuliza na nikamuliza Mh lema vipi huyu kiongozi wa ccm anatafuta nini lema kanikonyeza na kusema kamanda kaja kujisajili.



Swissme
.....
.....Nimeisikia hiyo chinichini Mkuu kaamua Kula Krismas bila presha
 
Membe hawezi kuiva chungu kimoja na Lowasa.. Lowasa na Sumaye kurejea CCM.
 
Kuna MTU ameshatumbukia nyongo kwa habari hii
 
Hizi santuri zilishachokwa. Si ahame tu then ndio autangazie umma? Haya matetesi ya kila siku hayana mashiko.
 
Back
Top Bottom