Msambwata
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 1,307
- 1,500
Dodoma kuna wapiga deal tu pale ila wamejivika vazi la uzarendo..Hawa viongozi wengine wanapenda drama za mitandaoni huku kazi wengi ni kaputiiiiiii.
Mtuache leo sikukuuu tupo tunaangalia kinachojiri Dodoma.. ambapo ndio kumekucha