Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa viongozi wengine wanapenda drama za mitandaoni huku kazi wengi ni kaputiiiiiii.
Mtuache leo sikukuuu tupo tunaangalia kinachojiri Dodoma.. ambapo ndio kumekucha
Habari zilizotufikia hivi punde
Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi ccm kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa
Mwanahabari Huru
Nahisi Membe, anaungana na Nyalandu, au chama kingine!Kama sio Membe au Mwandosya sijui...
A town ndo nani kakaJana nilimuona A Town na MH.LEMA nikajiuliza na nikamuliza Mh lema vipi huyu kiongozi wa ccm anatafuta nini lema kanikonyeza na kusema kamanda kaja kujisajili.
Swissme
hukumuona Kafulila?Naye kanunuliwa?
Halafu isije kuwa ni propaganda zenu tu nyie CHADEMA na CCM maana pia kuna sehemu nimeona mtu anadai kuna watu wakubwa watahama CHADEMA kurudi CCM.
Lema naye alipandisha watu presha akidai kati ya Jumatano na Ijumaa ya wiki hii kuna mvulana atahama CHADEMA na kwenda CCM lakini haikutokea.
Same ‘ol bullshit.
Chadema acheni ujinga kumpokea membe hakuwasaidiiHabari zilizotufikia hivi punde
Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi ccm kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa
Mwanahabari Huru
Sasa mtu kufa vitani si ni kawaida?Jamani Sio ndo tunaamka Nchi za watu Naomba kuuliza. ZITTO NA LISSU WAMETWEET vifo vya wanajeshi. Na wale haki za BIN Adam je. Hakuna aliyeitisha kikao na waandishi wa habari. Mana nimezoea
embu soma ulivyo andika.Arusha mjini
Swissme
Kweli kabisa, hii itapunguza gharama ya chaguzi za marudio. Na kutoa fursa ya watu kufanya kazi za kuwaletea wananchi maendeleo badala ya kufanya siasa. Uchaguzi ukikaribia, baada ya bunge kuvunjwa na mabaraza ya madiwani kuvunjwa, hapo sasa dirisha la usajili linafunguliwa upya.Naona sasa kuna Umuhimu wa kuwa na Dirisha la usajili kwa hawa wanasiasa kama ilivyo kwenye Michezo.
nawezekana ikawa hivyo au hata NAPE But inawezekana pia wapinzani wameamua kusema hivyo ili kuzima hoja za chama tawala kuwa kuna watu wakubwa toka upinzani wataamia chama Tawala tarehe ya mkutano wao Dom,yote yawezekana "Pindua pindua" maneno ya siasa kutishiana tishiana kila upande...Kama sio Membe au Mwandosya sijui...