Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Lowassa ni pekee ccm imempteza mwenye kupendwa na watu. Wengine wote haina impact. Ndiyo maana wanahaha.
 
Waaache kutuumiza akili wajenge sera na hoja waachane na kujenga uhamisho
 
Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru
Itakuwa dafrau la kufungia mwaka
 
Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru
Kwamba aliwahi kuwa na nyadhifa kubwa Tanzania serikalini au kwenye chama is immaterial,jambo la msingi hapa ni kwamba yeye ni Mtanzania kama Watanzania wengine kwa hiyo
ana haki kabisa ya kuwa na mawazo yake binafsi.Jambo la msingi hata hivyo ni kwamba Watanzania tulio wengi tunakubaliana na mengi Rais anayofanya,yeye is just a drop in the ocean.Tunamtakia kila la heri.

Hekima hata hivyo inaniambia kwamba kuliko ku-cross over to the opposition ambako kwenyewe kuko in disarray, ni vema angebaki chamani aka-fight for change from within, kama anaona kuna serious problems.He will certainly regret his actions,ni vema akajitafakari.
 
"TUNAKUPA MADARAKA TUNAKUPA MSHAHARA,TUNAKUPA MARUPURUPU,KWELI UTAWEZAJE KUTANGAZA MPINZANI AMESHINDA"
 
Kwamba aliwahi kuwa na nyadhifa kubwa Tanzania serikalini na kwenye chama is immaterial,yeye ni Mtanzania kama Watanzania wengine,kwa hiyo
ana haki ya kuwa na mawazo yake binafsi.Jambo la msingi hata hivyo ni kwamba Watanzania tulio wengi tunakubaliana na mengi Rais anayofanya,yeye is just a drop in the ocean.
......
.....ndo vile hakuna namna chombo kimekwenda halijojo Mkulu kaamuwa Kujitosa
 
Hivi ccm kuna alie baki mwenye cheo kikubwa kama lowasa na sumaye nje na hapo ni mwenyekiti wa ccm taifa ambao ni maraisi wasitafu
 
Back
Top Bottom