Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

Hivi umeendija nini?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uzi mzuri ila umeunajisi kwa matumizi ya neno Wagalatia/Mgalatia..kikubwa tumejua kwamba umejenga na unaishi kwako..hongera.
Jesus!!! Kwani wagalatia sio kitabu chenu mkuu? Ulitaka niseme ma..k...f...r?

Umenikwaza Sana
 
We jamaa limbukeni sana yani kujenga kajumba ndio unaanza kusema jamaa anaonekana kama alishakufa sijui na bla bla kibao?
Tatizo hukusoma fasihi Wala literature.

Nenda ka Google neno " hyperbol"
 
Ulivyo mwona amechoka ukafurahia mwenyewe ukaona haitoshi, ukamleta jf, ishu ni ubani tu au kuna kingine? Au kwa sababu wewe upo kwako mwenzako bado amepanga/amechoka? Anyway kwenye maisha ups and downs ni jambo la kawaida, vinginevyo huo ni ushamba.
 
Ishu sio kuchoka ila ishu ni kuchukua ubani Huo Huo ambao alikuwa ananibugudhi nilipo kuwa nauchoma...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…