Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

Mbona kama Uzi wako umejaa kashifa Kwa wakristo pia unataka kutuaminisha kwamba Siri ya mafanikio yako ni ubani Tu au uislam. Mbona Kuna makapuku wengi Tu na wanachoma ubani mi nakumbuka home Mzee aliwahi mfukuza jamaa na mkewe Kwa kushindwa kulipa Kodi na mkewe alikuwa mchoma ubani mzuri Tu alikuwa muislam vp au ye alikosea masharti ya ubani nn
 
Unauhakika kuwa wewe ni muislam??

Uislamu ni unyenyekevu, kama mtoa maada ni mnyenyekevu mbele za Mola wake, amejawa na roho ya huruma , mwenye matendo ya kumpendeza Allah huyo ndiye, lah kama hauna hayo hata uswali lakha zote kila dakika, hudhuruia ibada za Umra kila mwaka, funga vyungu vyote, taja nguzo za uislamu zote bado tu utakua wa laana, utafaidika kuvaa kanzu na baraghashia, au hijabu na nikabu lakini utabaki wa laana tu. Allah Atusamehe na Atupe mwisho mwema. Dini Dini hizi
 
😱😱🚶🏿🚶🏿
 

Ushirikina unakutesa
 
Huna maana yoyote wewe.
Kwa hiyo unaamini ulichokuwa unakifanya na jirani yako hapendi ndio kichomfanya awe na hali hiyo mkuuu
Hayo ni maisha tuu mkuu ,week au mwezi hujui hatma yakoo,na yake pia.
Tumia ulimi wako vizr.
Mwenye kujua hatma ya mtu ni Mungu

Eti kachoka ,
Aliyekupa wewe ndio kamnyima yeye leo na kesho niyeye
Acha kujimwambafai mkuuu .

Usiwe na mdomo chunga mdomo wako mkuuu.

Soo unaamini hayo maudi yako ndio yaliokufanikisha mkuu.

Labda nikufungue kidogo
Sisi wakristo

Yesu aliteswa msalabani kwa ajili yetu naa ametukomboa sisi kwa damu yakee ,naa sanamu na makorokoro yotee amezimaliza msalabani
Usidanganye na hawa wachungaji wa digital
All kulitaja Jina la Yesu inatosha kufuta kila aina ya matatizo.

Imani yako iheshimu Imani ya watu wengine .
Pokea hilo andiko litakusaidia
 
Najua umeuliza Kwa Sababu nimetumia kiingereza sana kama Mkorintho
Ukiongeza fikra katka swali la huyo mtu,utajua nn anachomaanisha unless huna wingi wa elimu kuhusu uislamu...

1* Hakika ya Allah katka madhambi makubwa ambayo anayoyachukia ni shirki...

Kumshirikisha yy na alivyoviumba.

So kama kawaida nilikuwa nachoma ubani Kila ifikapo usiku wa kuamkia ijumaa
Hili jambo si ktk mafundisho ya mtume....kuna mambo tumeambiwa na yamefanywa na mtume na maswahaba wake pale inapoingia siku ya ijumaa.

Kufanya hvi ni shirki...kama hujui basi acha mara moja mkuu,Ila kama unajua na unaendelea kufanya basi kaa ukijua hiyo ni shirki...That why umeulizwa wewe ni muislamu?

TUMIA UBANI KAMA MANUKATO .
 
Ohooo kimeumana kumbe bwn mdogo tambo zote na kejeli kumbe alikua anafanya mambo ya kina karumanzila.

LIKUD njoo ujifunze hapa.
 
Mshukuru Mungu kwa kidgo ulicho pata...ipo siku na yeye atapata...kila kitu kinapangwa na Mungu .. Ni vyema kuelezea faida za ubani si vyema kumsema mtu kma ulivyo fanya.
 
nilifukuzwa na majirani kwa sababu ya harufu nzuri ya misosi kama kuku,kitimoto,nyama choma,vyakula vya kizungu.pale buza
 
[emoji23][emoji23] dhumuni lake tujue amejenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…