Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

Wewe
Wewe Ni kichaa
 
nilifukuzwa na majirani kwa sababu ya harufu nzuri ya misosi kama kuku,kitimoto,nyama choma,vyakula vya kizungu.pale buza
Buhahahahahahahaha
 
Mshukuru Mungu kwa kidgo ulicho pata...ipo siku na yeye atapata...kila kitu kinapangwa na Mungu .. Ni vyema kuelezea faida za ubani si vyema kumsema mtu kma ulivyo fanya.
Ur such a selfish person. U want me to think like you!!! Kuwa serious Dogo
 
Ur still a learner. I know that which thou know not!!!
 
Unachokipenda wewe siyo lazima mwingine akipenda.

Hiyo kuchoka ni maisha tu nobody knows tomorrow.
Umasikini ni laana. Umasikini hukaa kwenye Maisha ya mtu asie mjua Mungu au MTU asie na Mungu.

Kama wewe unapenda umasikini I am regretting to let u know that wewe ni kichaa
 
Ohooo kimeumana kumbe bwn mdogo tambo zote na kejeli kumbe alikua anafanya mambo ya kina karumanzila.

LIKUD njoo ujifunze hapa.
Achana nae huyo bado Mwanafunzi. Anaishi Kwa kukariri
 
[emoji23][emoji23] dhumuni lake tujue amejenga
Oooh UMeifungua mkuu AkiLi yangu na huyu atakuwa ni mwanaume wa dear maana hata uandishi wake kaandika kishambenga sana halafu inshu ya kumiliki nyumba mbona huku mikoani mpaka vinyozi Wana mijengo yao yaani ni jambo la kawaida Sana Mtu kuwa na nyumba tena ya maana nadhan huko dsm ndo Mtu akiwa hata Ka kijisite anajaza FB na mitaani kwamba kanunua site huyu mzee wa ubani kajenga kajumba kaandika thread na kukejeri wakristo Hoi ni shida hii
 
Aisee
 
Mkuuuu unajua kuhifadhi kinyongo miaka yote hiyo ujasahau
 
Wewe

Wewe Ni kichaa
Nilijua lazima utoe Mapovu
Ukiona hivyo sindano imekuingia
Na uwezo wako kufikiri unachangamoto sanaaa
Mbinafsi sana wewe,hivyo ndio ulivyo .
Kuna seheme ikifika unakitaaa subiri uone
 
Huyu jamaa tunamuombea Allah amuongeze, Uislam wake umechanganyika na elements nyingi za ushirikina, imani yake kwenye mizimu hua inanitia mashaka sana na huo uislamu anaojinasibisha nao.
Tunamuombea kwa Allah ampe hidaya na amsamehe yeye na sisi pia katika makosa yetu.
 
Kwahiyo mkuu unahisi huyo jamaa kachoka sababu ya kukusumbua kuhusu kuchoma huo ubani? Kwamba kapata laana ama? Ulifurahi kumuona vile? Dini ndiyo inavosema ufurahie mtu kupatwa na mabaya?
 
Wakatoliki wanachoma ubani Kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…