Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
dini yako ya kinafiki sana. unamponda jamaa kisa umasikini, halafu unasema dini yako ni love na humanity sijui blablaMimi sio muislamu. Mimi Ni binadamu. My religion is Love Na dhehebu langu ni Humanity
18 Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini.Hosea 2:18
13 Nami nitamwadhibu kwa sababu ya siku za Mabaali, aliowafukizia uvumba; hapo alipojipamba kwa pete masikioni mwake, na kwa vito asema Bwana.Hosea 2:13
Amiiin...Huyu jamaa tunamuombea Allah amuongeze, Uislam wake umechanganyika na elements nyingi za ushirikina, imani yake kwenye mizimu hua inanitia mashaka sana na huo uislamu anaojinasibisha nao.
Tunamuombea kwa Allah ampe hidaya na amsamehe yeye na sisi pia katika makosa yetu.
Poleee sana mkuu....Allah atusamehe kwakweliUr still a learner. I know that which thou know not!!!
Islamic ni udagaidi naHata waislamu tunajua kiingereza
Looooh akina mama kama wewe ni hazina kwa taifa. Maneno yamejaa hekima, staha na utashi. Hongera mama!Unachokipenda wewe siyo lazima mwingine akipenda.
Hiyo kuchoka ni maisha tu nobody knows tomorrow.