Wiki iliyopita nimekutana na jamaa aliyenibugudhi gheto kwa sababu ya kuchoma udi

Ishu sio kuchoka ila ishu ni kuchukua ubani Huo Huo ambao alikuwa ananibugudhi nilipo kuwa nauchoma...
Sasa anakichukiq mwenzako wewe unanuna...no kweli kina vitu Fulani Waislam ma Madhehebu mengine ya Kikiristo wanachomaga' harufu yake hunichefua!
Hata manukato wanayopaka Waislam wengi huwa yananitia kichefuchefu!
 
Pamoja na yoote hapo kwenye HOSEA 2:18 umedanganya sana, inasema...

"18 Nami siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mashamba kwa ajili yao, tena na ndege wa angani, tena na wadudu wa nchi; nami nitavivunja upinde na upanga na silaha vitoke katika nchi, nami nitawalalisha salama salimini."

Au unamaanisha nini kuhusiana na hiyo verse with that ubani?.
 
Wewe sema ulitaka kutuambia una nyumba. Hebu tuone picha yake isije ikawa tambo zote hizi kumbe banda.
 
Kiimani nimekuelewa sana mkuu. Uko sahihi. Hata mimi nilifundishwa kuomba kwa ubani kwasababu kanisani kweli tunatumia. Huwa nafanya pale najiona nimeelemewa na msalaba fulani. Na sikufichi najibiwa sana. Tatizo huo mzuka umepotea kidogo.

Nashukuru umeelimisha kidogo. Mwenyewe nilidganigi ni ushirikina kutumia ubani. Lakini maandiko yako wazi. Ukisali kwa kumaanisha majibu huja haraka sana

Tatizo mkuu, umeandika kwa jazba sana. Kidogo punguza hasira. Jamaa alishakua na uelewa kwamba ni ushirikina. Kumbe sivyo. Pia ungemwonyesha upendo. Hivyo ungekua umemsaidia zaidi. Mitihani ya maisha huja wakati wowote wewe hutegemei. So hilo ni karibu lake na si kwasabababu alikwambia zima ubani. Kila mtu hupitia kikombe chake. Kitu bora zaidi ni kukinywa kwani wakati wa furaha uko mbele waja. Hongera sana.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Always do to people, what they are doing to you. Don't u ever forget this rule which is to live by.

As for me, my attitude towards any person will depend on the attitude of that person towards me
 
Maelezo kibao but sijaelewa mlengo wa uzi huu?.. kwa faida yangu Ubani ni nini na Nini faidi ya kuchoma Ubani?
 
Kuna mahusiano gani kati ya Ubani na maombi?
 
Unajikweza ila uandishi wako tu inaonekana bado una utoto ndani yako
 
Ilinichosha sana kusoma mwanzo sikuona chocjote cha kukuambia ila Roho Mtakatifu akasema nami wewe unafaa sana kuwa mwalimu wa Biblia aisee YESU anakupenda OKOKA ili umtumikie
 
Reactions: _ly
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…