Kiimani nimekuelewa sana mkuu. Uko sahihi. Hata mimi nilifundishwa kuomba kwa ubani kwasababu kanisani kweli tunatumia. Huwa nafanya pale najiona nimeelemewa na msalaba fulani. Na sikufichi najibiwa sana. Tatizo huo mzuka umepotea kidogo.
Nashukuru umeelimisha kidogo. Mwenyewe nilidganigi ni ushirikina kutumia ubani. Lakini maandiko yako wazi. Ukisali kwa kumaanisha majibu huja haraka sana
Tatizo mkuu, umeandika kwa jazba sana. Kidogo punguza hasira. Jamaa alishakua na uelewa kwamba ni ushirikina. Kumbe sivyo. Pia ungemwonyesha upendo. Hivyo ungekua umemsaidia zaidi. Mitihani ya maisha huja wakati wowote wewe hutegemei. So hilo ni karibu lake na si kwasabababu alikwambia zima ubani. Kila mtu hupitia kikombe chake. Kitu bora zaidi ni kukinywa kwani wakati wa furaha uko mbele waja. Hongera sana.
Sent from my SM-G960U using
JamiiForums mobile app